Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
I'm so sorry but I've got some words for all my fellow faithful Koppites....,....fuckkkk ya'all
We suck
Hahahahaaaa.., mkuu nauza nafasi ya 6. Wahi nikupe punguzo.
I'm so sorry but I've got some words for all my fellow faithful Koppites....,....fuckkkk ya'all
We suck
Leicester fans singing "have you ever seen Gerrard win the league?"
Pole sana braza kaka...hii post yako imenichekesha sana..kama nakuona vile!I'm so sorry but I've got some words for all my fellow faithful Koppites....,....fuckkkk ya'all
We suck
The way Leicester wanavoshangilia utadhani wameifunga timu kuubwa, kumbe ni liverpool
Leicester kafufukia kwao3-0 saafi
Sipotezi game yyt hadi May
Hata sare hamna
Mane anamfukuza kazi Mzee Wenger Jmosi

Jogoo kaliwa na manyoya yake.Hawa Leicester nimewaona ni wapumbavu sana kama watakuwa wameshinda kwa sababu ya kocha wao.Leicester kafufukia kwao
Yah ila wacha tu washinde ukiona manyoya ujue keshaliwa hahahHawa Leicester nimewaona ni wapumbavu sana kama watakuwa wameshinda kwa sababu ya kocha wao.