FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
BIG UP kiwatengu!
Absolutely you have been create perfect products ! Umefikiri nje ya box !
Kumbe maubunifu mko nayo vichwani !
Ila nakunyima 100% kwa kuchelewesha wazo hili mapema wakati ulikuanalo!
Nakupa 90% .
Kwani ni lazima uandike kwa lugha asiyoijuwa vizuri? Ni nani alikudanganya?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?