Itafanyikia MMU, ngoja nijipange kidogo nitakupa mada na siku husika kupitia PM yako mkuu.
Wala sivuti bangi...
Maneno yako yametafsiri sauti yako!!
Oooh kumbe!! Wakati hapo mie ndio nimempokea kwa bashasha kweli!Alikuwa na bashasha nyingi na kasema amekutafuta sana ilipaswa kumpokea vizuri sasa hilo neno la ex lina kaukakasi kidogo nadhani halikutakiwa kuhusika japo ni kweli.
Atoto: huu ni ujumbe kwako na ex-wako 'about True Value Of Love'
"You will know the true value When you lose him/her. Now you take him/her as a leaf amongst the thousands strewn below a tree. But that leaf is unique. Only time will tell you that".
Cheti cha talaka au?Acha hizo wewe...
Mbona anadai cheti?
Hivi wa sasa ni nani?
Mefanya nini jamani?Mungu anakuona ujue...
Mh nawe huyo! "Umpendaye ni kama jani ulilolichuma kwenye mti ukaacha mengine, ukilitupa unalikumbuka baadaye"Sasa ndugu yangu na hivi viinglish mbona ujumbe umegom!!
Umeacha au umeachwa ndo maisha yako sasa, hutokaa katu na mwanaume kudumu.Sasa hivi am taking time dating me.
Ukakasi upo hilo neno ex la nini? ni sawa na supu kuitia nazi.Oooh kumbe!! Wakati hapo mie ndio nimempokea kwa bashasha kweli!
Mwache hajui kuwa jamaa mama yake ni mwanamke kama yeye.Mungu anakuona ujue...