antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,735
- 130,655
Aisee,utaeleza hisia zako na kumtaja mhusika wako na ikionekana unahitaji msaada utasaidiwa kuna wataalamu hapa
Ngoja nitafakari wa kumleta hapa chap
Aisee,utaeleza hisia zako na kumtaja mhusika wako na ikionekana unahitaji msaada utasaidiwa kuna wataalamu hapa
Hizo Kadi za harusi vp?Nimeshafika, haya niambie!
Usinambie ndio unatongoza hivi mkuu? Ntalainika kweli hapa?Hizo Kadi za harusi vp?
🙆Usinambie ndio unatongoza hivi mkuu? Ntalainika kweli hapa?
Hebu kaza..
Dah 😂😂 mbon unanioshea hivi jmnHebu kaza..
Nataka nione mistari bwana daudi unakwama wapi🤣Dah 😂😂 mbon unanioshea hivi jmn
Njoo PM huku ni public. Nikunyooshee maelezo .Nataka nione mistari bwana daudi unakwama wapi🤣