Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Uitikiaji huu wa salamu japo sio mimi lakini unakatisha sana tamaa.Nipoa my ex, habari ya weye?
Uitikiaji huu wa salamu japo sio mimi lakini unakatisha sana tamaa.Nipoa my ex, habari ya weye?
Uitikiaji huu wa salamu japo sio mimi lakini unakatisha sana tamaa.
Alikuwa na bashasha nyingi na kasema amekutafuta sana ilipaswa kumpokea vizuri sasa hilo neno la ex lina kaukakasi kidogo nadhani halikutakiwa kuhusika japo ni kweli.Kwanini sasa mkuu? Huyo ni ex wangu.
Atoto: huu ni ujumbe kwako na ex-wako 'about True Value Of Love'Kwanini sasa mkuu? Huyo ni ex wangu.
Umeona yaani mtu kawekewa pingamizi la uchaguzi kabla hata ya kura hazijapigwa.ha ha ha ha...
Mkuu natamani tufanye Interview moja hapa jukwaani...
jamani, kwani kakosea sana?
Una sauti nzuri mpaka basi.
Hivi wa sasa ni nani?Nipoa my ex, habari ya weye?