Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,556
Nataka nimpeleke nyumbani Mbeya huyu mtoto akale wali na samaki mbasa
mbombo ngafuNataka nimpeleke nyumbani Mbeya huyu mtoto akale wali na samaki mbasa
mbombo ngafuKuku ufugaji jibu lingekiwa kama vile mtu anapouliza close and ended question. kutongozwa hakuna mwishoHii thredi ingekua inahusu ufugaji wa kuku chotara, ata isingefika huku.
I can imagine umri wa memba humu.
Ngoja nianze kufungasha mizigoSiku unahamia kwangu
Hivi mbeya kuna ziwa au bahari. Au mnatengeneza mabwawaNataka nimpeleke nyumbani Mbeya huyu mtoto akale wali na samaki mbasa
kuna Ziwa nyasa na Ziwa rukwaHivi mbeya kuna ziwa au bahari. Au mnatengeneza mabwawa
aaaaaaaah! nani kakufundisha tena mumy??? mkuu kiwatengu unaona mtoto anajua hadi lugha ya nyumbani hii ni sifa nzuri nyingine tena
najua neno hilo tuusijari mumy ntakufundisha na mengine hapa tupge kufuri mengine tutaongelea chumbani![]()
![]()
najua neno hilo tu
utafungwaje wakati mimi sijapata mtu....???Umekuwa sugu sana
Nakuonea wivuuu Eddy Lovehakuna raha nzuri duniani kama kuambiwa unapendwa tena unapendwa kweli kweli,nitakuthamini na kukujari pia my dear love you so much
njoo Pm tuyajengeHuu uzi nilikuwa sijaona nisingekuwa singo hadi leo sasa ukitaka kutongozwa unatumia mbinu gani?
1980 -2000 Nilisema huko nyuma utashtuka unaongea na mjukuu. Mizaha mingi wengine wanachukua serious.Hii thredi ingekua inahusu ufugaji wa kuku chotara, ata isingefika huku.
I can imagine umri wa memba humu.