Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Asipokuja nazo tutafuta undugu pale pale airport[emoji34]Amekusikia my wii...
Tena aandike kwa diary kabisa
Asipokuja nazo tutafuta undugu pale pale airport[emoji34]Amekusikia my wii...
Tena aandike kwa diary kabisa
Mie si mtu wa mchezo mchezo
Kilichokufurahisha?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Either amejichanganya au hajajichanganya nadhani list imekufikiaUlivyojichanganya hapo hujaona?
Looh! Kwa mistari hii ni shidaWewe ni pili baada ya Mama,i real love you so much wala siyo utani nataka dunia yote ijue kuwa nimekuchagua wewe pekee na mungu anajua huu upendo niliokuwa nao juu yako
Jibu hilo na sahihi kabisa kwake yeye. Hongera bibie, hatokusumbua tenaLooh! Kwa mistari hii ni shida
Basi sawa[emoji12] [emoji127]
Kweli ww Eddy Love[emoji13]Kupenda kubaya sana ona ninavyoteseka dada Valentina yote sababu yake,tafadhali naomba umuambie napenda sana tena sana
hakuna raha nzuri duniani kama kuambiwa unapendwa tena unapendwa kweli kweli,nitakuthamini na kukujari pia my dear love you so muchKweli ww Eddy Love[emoji13]
Sio mtu wa mchezo mchezo
huyu ni shemeji yako sijaanza leo kumpenda toka awali nampenda nipo hapa kuthibitisha jinsi gani nampenda watu wote wajue nimekufa na kuoza juu yakeJibu hilo na sahihi kabisa kwake yeye. Hongera bibie, hatokusumbua tena
Nipo kundi gani?
Nimepotea humu mdaaaaa.
Huu uzi utafungwa lini?
Umekuwa sugu sanaKwanini ufungwe....???
Wacha tutongozane buanaUmekuwa sugu sana
[emoji23] [emoji23] mkuu jukwaa la ufugaji lipo na kuna masrediiii marefuHii thredi ingekua inahusu ufugaji wa kuku chotara, ata isingefika huku.
I can imagine umri wa memba humu.
HA HA MKUU HILO JIBU LAKO UMETISHASiku unahamia kwangu
Nataka nimpeleke nyumbani Mbeya huyu mtoto akale wali na samaki mbasa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] imejibu...
Na kila mtu apige makofi...
Hii naiingiza kwenye list ryt now