Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Msisahau kunipitia aiseee, nishapiga boonge la ninja, nikifika huko ni full vigelegele na vifijo, nitazitawanya st.anna leo kama sina akili nzuri.

Hahahaaa sijui kama atakuwa na hela ya wine kwa ulivyomchuna...
 
x shem unajua kunipa raha.
Ila shem lol sio kwa kumwacha shoga angu hivyo.
Ina maana hutaki ata mchepuko? Ngoja nivae dela yaani leo ni kukata mauno kama vile nakufa kesho
wax anatumia defencive mechanism tu, hapo kwani we hujui nani kaachwa? He never was so walaaa hawezi kunipa talaka, acha afanye sherehe nikaserebuke nitumie pesa zake za mwisho miwisho nikanywe st.ana za kutosha niongeze genye nikirudi home ni kugaragazana na manga wangu mpaka kunakucha.
 
Last edited by a moderator:
Chezea wax wewe!!! Kila kitu kipo st Ana,Dompo,JacksD,Johnmtembezi,Mwendo wa Heineken tu n Windoek tu,mbege,chibuku etc

Hayo ndio mambo sasa! Msisahau kunipitia aisee, cute b sasa si uanze ile kazi uunganishe mirija?
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi kiwatengu ufunge tuu shoga angu asije akaachwa tena

Bahati nzuri sijawahi kuachwa shogaa!! Yaani tiktak niichezayo ni matata, nawaacha wajifariji tu na bao la mkono, ila nafsi zao zinakuwa zinajua nani kaachwa, huoni hawaishi kunifuata fuata km nzi wa machinjioni!!

Ila Manga ML ndio ukomo wangu, yaani kwake ndio duuuh sijui niseme nini, ila i love this guy alot, hapa hakuna kuachwa wala kuachana.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa sijui kama atakuwa na hela ya wine kwa ulivyomchuna...

Chezea mimi wewe! Kabaki ngozi tu, ila ajitahidi hata akakope tu ili party iwe ya nguvu, alafu kiwatengu kuna kipengele cha msingi nimekikumbuka nataka uki-include kwenye talaka hebu tuwasiliane.
 
Last edited by a moderator:
Chezea mimi wewe! Kabaki ngozi tu, ila ajitahidi hata akakope tu ili party iwe ya nguvu, alafu kiwatengu kuna kipengele cha msingi nimekikumbuka nataka uki-include kwenye talaka hebu tuwasiliane.

Oouw!! nimesikia wito...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom