Ngoja nifanye uchunguzi nisije pata pressure bure
Ameshashindwa madhali twaelena limekwisha hili aje atengue tu
Maswali gani haya sasa tunaulizana jamani? Hebu katengue kauli usinitafutie balaa.
Baby hebu twende nyumbani, si unajua ukame nilionao, nilikumiss mnooooo.
Maswali gani haya sasa tunaulizana jamani? Hebu katengue kauli usinitafutie balaa.
Unarudia hili swali ulishajibiwa vizuri tu kwenye uzi mwengine hem tengua bhanaa we si kiwatengu
Naomba nikusaidie kuiandika!!
Hahahaaaa!! Uwiii eti mchepuko, we huyu ndio njia kuu kabisaaaaa!!