Hahahaaaaaa mkeo kapewa talaka na mchepuko lol kweli maombi yako ya maca yamefanya kazi
Last edited by a moderator:
Maswali gani haya sasa tunaulizana jamani? Hebu katengue kauli usinitafutie balaa.
Baby hebu twende nyumbani, si unajua ukame nilionao, nilikumiss mnooooo.
Akyananiii leo nacheka kama chizi...
Vituko vitukooo
Mkuu leo nmemkamata live karbu ushuhudie ninavyo toa @talaka
Kuachwa kubaya,am thank God am safe!....Hiyo tabia yako ya kuacha watu siyo nzuri,inaumiza watu sana,ukishachagua mmoja kaa nae huyohuyo acha kuchepuka wewe mwanamke!!!
Hahahaaaaaa mkeo kapewa talaka na mchepuko lol kweli maombi yako ya maca yamefanya kazi
Akyananiii leo nacheka kama chizi...
Vituko vitukooo
Woyoooo kumbe kuna msosiii na vinywaji..
Toa talaka mkuu.
Ila nilikuambiaga mwanzo hukusikiaaa
Duuuuh! Leo inaongea hadi kiinglish!! Nilichepuka wapi? Lini? Na nani? Ulinishikia mguu? Acha majungu dogo, niko na kipenzi cha moyo wangu,laazizi,usinhizi wangu,the one and only Manga ML pekee.
Mpaka sasa hivi umewaacha wanaume tisa,huyu ulie nae sasa hivi ni wa kumi na amekuja kwako kichwa kichwa kwani hana data yeyote kuhusu wewe,yaani namwonea huruma!!....Mwanamke gani kazi ni kuchepuka kutwa nzima!!

Aiseee!!! Tulikwambia lakini!!! Nipo hapa mpaka kieleweke naskia kuna vinywaji na chakula mimi naomba kamati ya vinywaji tu.
Acha niwe wa mia mkuu sibanduki mpka amue