Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Hata wangekuwa mia, ila wht mataz ni kuwa Manga ML ndio wa mwisho, yaani nimefika kabisaaa, huyu ndio nilikuwa nahangaika kumtafuta na tumetoka mbali mnooo, usidhani ni wa leo huyu!

Wa mwisho wapi wewe!!...kadanganye watoto wadogo siyo sisi ambao tuna data zako!!!
 
Last edited by a moderator:
Na naanzaje kuamua!! Hicho kipindi kifupi tu ulichokuwa macca nilihisi nipo jehanam ndogo kwa kukumiss, sasa nisipokuwa nawe kabisa nitaishi kweli?? Yo my life darling.

Wameshindwa acha povu liwatoke
 
Haina shida Mkuu ww ndo m/kiti wa vinywaji
cute b niko kamati ya vinywaji ujue....... wax ex shem vipi keki na ndafu ipo? Lazima tumuache na keki huyu na matatumbeta juu..........lol
 
Last edited by a moderator:
cute b niko kamati ya vinywaji ujue....... wax ex shem vipi keki na ndafu ipo? Lazima tumuache na keki huyu na matatumbeta juu..........lol

Vyote vipo Mkuu tena na mzik mnene hadi majogoo ita wengine waje washuhudie asije akanigeuka baadae cpend lawama
 
Last edited by a moderator:
cute b niko kamati ya vinywaji ujue....... wax ex shem vipi keki na ndafu ipo? Lazima tumuache na keki huyu na matatumbeta juu..........lol

Niko busy hapa kuazima ninja nije niserebuke, hebu ulizia kama st,ana zitakuwepo!
 
Last edited by a moderator:
Oooooh unafanya moyo udunde mara 10 kwa sekunde mume wangu, yaani kwako mie nyang'anyang'aaaa Kiba kasingiziwa.
Cc cute b

Kama ni maji ya blue light sema nini unatakaa...
Nyie pendaneni tuu
 
Last edited by a moderator:
Lol leo nina furaha sana nyie watu....
Sisi tumeitwa atoto ukajua tumeitwa tukushangae kumbe ni kuona mnavyopendana.
Basi shost ulivyojihami eti mweee

Si nawajua nyie mashankupe yangu kwahiyo hata muitwe kwa jema walaaaaa siwaamini, haya tuachane na hilo, mserabuko wapi na lini? Cant wait mie.
 
Last edited by a moderator:
Si nawajua nyie mashankupe yangu kwahiyo hata muitwe kwa jema walaaaaa siwaamini, haya tuachane na hilo, mserabuko wapi na lini? Cant wait mie.
Mseeebuko wa talaka yako?
Ni leo ndio nampitia everlenk yupo anamalizia kuvaaa.
 
Last edited by a moderator:
Vyote vipo Mkuu tena na mzik mnene hadi majogoo ita wengine waje washuhudie asije akanigeuka baadae cpend lawama

x shem unajua kunipa raha.
Ila shem lol sio kwa kumwacha shoga angu hivyo.
Ina maana hutaki ata mchepuko? Ngoja nivae dela yaani leo ni kukata mauno kama vile nakufa kesho
 
Back
Top Bottom