Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Tunamshukuru mungu sasa hivi umetulia kidogo,huangaiki tena sana na michepuko kama kipindi kile,endelea na moyo huo huo mwaya!!

Chezea Manga ML wewe? Kanituliza haswaaa, ana kila sifa ya kuitwa "mwanaume" na "mume", nihangaike kutafuta nini wakati napata kila nikitakacho? Kila nilichokuwa nakitafuta nimekipata kwa kipenzi cha moyo wangu my Manga ML.
 
Last edited by a moderator:
i'm watching close, mpaka mwisho wa thread. JF inawatia wa2 wazimu. utani gan huu? naapa nkikukamata my baby unataniana na watu hivi utanijua mi nani.
 
Chezea Manga ML wewe? Kanituliza haswaaa, ana kila sifa ya kuitwa "mwanaume" na "mume", nihangaike kutafuta nini wakati napata kila nikitakacho? Kila nilichokuwa nakitafuta nimekipata kwa kipenzi cha moyo wangu my [MENTION=155213]Manga

Na mimi uminituliza nipo nyang'anyang'juu juu yako kwa mahaba yako
 
Oooh thats my baby, love you deadly.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom