Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Poa dear kukatana ndo nn mpenzi

Duh!!....Mkuu kweli mapenzi upofu,yaani watu walishachukua saa nyingi wewe wala huna habari!!...Nilikuomba ajira ya kumlinda shem ukakataa ona sasa yaliyokufika kaka!!
 
Aisee ndivo ilivokua haya nielekeze mwenyewe cha kufanya maana hii oficiol

Honey jamani si unajua wewe ndio the one and only? Hao wengine wanajipendekeza tu, missed you big time laazizi.
 
Honey jamani si unajua wewe ndio the one and only? Hao wengine wanajipendekeza tu, missed you big time laazizi.

Bila kiwatengu hajatengua kauli utafute namna nyingine ya maelezo nimekondeana kwa ajili yako nakutafutia kumbe mterezo tu atengue kauli maana bado nakupenda
 
Last edited by a moderator:
Bila kiwatengu hajatengua kauli utafute namna nyingine ya maelezo nimekondeana kwa ajili yako nakutafutia kumbe mterezo tu atengue kauli maana bado nakupenda
kiwatengu hebu ukuje uedit jamani, mie si nilikuambiaga utaniletea balaa! Unaona sasa, mie nilikuambia kabisaaaa mume wangu kipenzi ni Manga ML
 
Last edited by a moderator:
Sanaaaaa, and thats how family is.

Hii ndoa ikivunjika utaniwowa nakwambia, we kazana tu.

Mmh umekula dau wapi? Mbona unakazana sana?

i was your watchman..
i want to prove to wax, how good I was!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom