Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

x shem unajua kunipa raha.
Ila shem lol sio kwa kumwacha shoga angu hivyo.
Ina maana hutaki ata mchepuko? Ngoja nivae dela yaani leo ni kukata mauno kama vile nakufa kesho

Nilimuweka waz kabsaa kuwa mm cna mchepuko na ctaki mchepuko lkn nliyoona leo hadi roho inauma
 
Ntahakikisha huandikishwi BVR ya kiwatengu.....hupo sipo naanzaje kwa mfano? Huyu cute b nimehisi anaeza kuwa na msaada mkubwa. Hebu fanya namna nimekumisa sana bana

Mhh!! Usinifanyie fitina bana ......hujanimiss wangu kipenz nasubir ufikie kilele cha kunimiss nitafanya namna.
 
Last edited by a moderator:
Leo ni siku ya mashemeji duniani ila kati ya atoto na Valentina sijajua bado nitoke na yupi!
 
Last edited by a moderator:
kati ya uliowataja kuna nilie mtupia madini mwaka 2013 januari,nikiwa na miezi kadhaa nimekua member kutoka guest, akaniambia bado ypo chuo,maana mi ckutaka kuchezea nilitaka niweke ndani jumla jumla!
Kitendo cha kukaa kimya wk mbili tu, tayari hapa anatajwa kama mke wa mtu!!#wewe nanii umenifanya nini!
 
ha ha ha ha ha umetisha mkuu
 
Back
Top Bottom