Live: Kizota Dodoma

Live: Kizota Dodoma

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
Mkuu Masatu
Heshima yako mkuu . Hujaona niiyo yasema hapo juu mapema leo ? Hapa sasa kinacho endelea wanajua wana CCM wenyewe . Ila John Cheyo kasema maneno mazito sana nalo kubwa kuliko yote aliyo yasema ni kwamba Tanzania ni yetu sote na makelele yanayo endelea sasa yanahatarisha usalama wa Nchi na umoja wa Kitaifa kwa kuwa Watanzania wanalilia mali zao na hasa madini.Akamtaka JK awe serious ku uproot corruption kuanzia ndani ya Chama na hata nje akiwa na maana ya kwenye Serikali pia . Akasema yasiwe ni maneno tu bali vitendo na akawaomba waende kwenye TCD waseme huko .
 
Na kweli, kama sisiemu wanatutakia mema basi wazingatie "ushauri" huu. Tusiendelee na hii tabia ya kuwatoa watuhumiwa mahabusu na kuwahukumu sisi wenyewe, maana ndiko tunakoelekea. Kuna siku waziri mtuhumiwa atahukumiwa na raia, iwapo sisiemu itakaa kimya kwa kila tuhuma!
time will tell. Naomba tusifike huku!
 
Mkuu Masatu
Heshima yako mkuu . Hujaona niiyo yasema hapo juu mapema leo ? Hapa sasa kinacho endelea wanajua wana CCM wenyewe . Ila John Cheyo kasema maneno mazito sana nalo kubwa kuliko yote aliyo yasema ni kwamba Tanzania ni yetu sote na makelele yanayo endelea sasa yanahatarisha usalama wa Nchi na umoja wa Kitaifa kwa kuwa Watanzania wanalilia mali zao na hasa madini.Akamtaka JK awe serious ku uproot corruption kuanzia ndani ya Chama na hata nje akiwa na maana ya kwenye Serikali pia . Akasema yasiwe ni maneno tu bali vitendo na akawaomba waende kwenye TCD waseme huko .

Shukran endelea kutuletea "live from Dodoma"
 
Mkuu Masatu
Sawa kabisa maana siwezi kuandika kwa kuwa nina access ya kuandika ila nitaandika kama nina la kuelezea Umma .
 
Vipi Lunyungu umemwona FD huko? Manake jana katuambia hapa kuwa leo ndio leo hadi kieleweke huko.....

Vipi kura bado hazijapigwa, nani katupwa nje nk
 
makamba nje,nafasi yake kukabidhiwa kwa mtu mwingine...stay tuned
 
Naona sisiemu kumekucha mwaka huu! Kamkata makali mpaka Makamba, aliyempa ubunge wa ofa na ukatibu? Basi muungwana kaamua mwaka huu.
 
kumbe kwa JK kuongoza nchi ni mchezo tu! haiwezikani wapinzani awaite watani wa jadi.

huyu rais wetu anatilisha huruma kwamba hajui wakati gani wa kuwa serious na wakati gani atanie.

what a shame
 
Makamba nje? kweli muungwana ameamua. nafasi hiyo inaweza kwenda kwa mmoja wa makatibu/wenyeviti wa CCM wa mikoani walio na ukaribu na muungwana na kambi yake. mikoa hii inawezakana ikawa ile ambayo muungwana na kambi yake wanapata misuko misuko, mfano kanda ya ziwa au mbeya.
 
nafasi yake kupewa mkuchika,mjadala unaendelea ndani hapa..
 
Hizi habari za Makamba nje sio sahihi. Katibu mkuu anapendezwa na Mwenyekiti na CC inamthibitisha. Kikao cha leo ni cha Mkutano mkuu ambao unachagua wajumbe wa NEC. Tuvute subira kidogo wakuu taarifa sahihi zitajiri punde....
 
Kuna habari kuwa jumba la uchaguzi limetekwa na alieko ndani hatoki nje na alieko nje haingii,na hakuna mawasiliano ya aina yeyote,hizi habari hazina uhakika kabisa maana alienipa habari ni mkereketwa na ana chuki nasi.
 
Taarifa sahihi ni kuwa wa break wanarudi muda mfupi ujao kuchagua wajumbe wa NEC viti 20 (kundi la kifo) sasa hizo habari za katibu mkuu mpya ni mazingaombwe tu...
 
katibu mkuu mpya nani ? mkuchika au nani ?
 
Back
Top Bottom