Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 167
haya yote ni kuchagua spika ambaye ni mwanachama wa Chama tawala,ni bora spika angekuwa mtu asiyefungamana na upande wowote,wewe unadhani kungekuwa na mkutano mkuu wa CUF wangehairisha?Bunge la Muungano wa Tanzania linabadilishiwa muda, ili kupisha mkutano wa CCM, now talk about getting our priorities twisted..