Live: Kizota Dodoma

Live: Kizota Dodoma

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
lunyungu,
mambo si shwari kivipi? hebu tufafanulie
na kura kwani si lazima zitangazwe? zitatangazwa tu .....wewe vuta subira.
 
FD
Heshima mkuu. tunasubiri habari kutoka kwako tuanze kukupa hongera, nadhani mambo hayatakuwa mabaya, tunakuombea

Nafikiri FD alikuwa mpiga debe maana amesema ameshaondoka kurudi Dar. Angelikuwa mgombea angebaki Dodoma in case anachaguliwa ili ahudhurie kikao cha NEC.

Labda tumuulize vipi anadhani mtu wake atapita?
 
lunyungu,
mambo si shwari kivipi? hebu tufafanulie
na kura kwani si lazima zitangazwe? zitatangazwa tu .....wewe vuta subira.

Lunyungu naye, kwenye kampeni za madiwani CHADEMA haendi, lakini kwenye mikutano ya CCM huko hakosekani, je mheshimiwa priorities zako kweli ziko sawasawa?

Mimi nilimshauri huu ndio wakati mzuri wa kwenda vijijini kuwaelemisha wananchi juu ya ufisadi wa CCM. Kazoea vya mjini, chai za Sheraton, kweli ataweza kulala kwenye mikeka akiomba kura? Ndio maana Malecela alikuwa anawazidi speed. Trekta tumeambiwa lenyewe lilikuwa linapita kila sehemu, kwenye matope, maji, hata kwenye miiba.
 
Huhitaji Elimu kubwa kuniamini nisemalo maana matokeo ya watu yaani wapiga kura wachache sana na tena ambao kazi iliyo waleta hapa Dodoma ni hiyo kulala hadi muda huu bado unasema nawarusha roho ?

Haya kaa ungojee ila nasema mambo si shwari ninawasikia watu wanavyo ongea hapa wamepata wehu ila wanatembea na fouls kibao wanazitegemea na mtasikia wenyewe ndiyo maana nasema mambo si shwari .
 
lyungulu labda kura nyingi zimeharibika huko! au wamepigiwa wagombea sio jee .....manake sehemu yenye ulaji, unaweza babaika ukampigia kura sie uloahidiana nae wakati wa kampeni (jk)
 
Ahadi za JF members siziamini tena,,, kila mtu anajifanya yuko Dodoma!!! Eboo
 
Lunyungu unafikiri Jk alimpigia nani kura?
 
NAONA mh.jk anajadiliana kwa mara ya mwisho na lowassa akiwa na karatasi ....anaongea na siita anaenda kukaa kwa wajumbe..sasa sitta anaaza kutangaza ..wajumbe waliopiga kura ni 1430..anasema mjumbe mwenzao emmanuel nchimbi kafiwa kwa hiyo hakushiriki mwishoni..anasema pia rostam hakushiriki asubuhi hii,..aliomba udhuru...
 
Matokeo yako Hewani Sasa, viti vya ZNZ, tune to 95.2MHz
 
Kwa upande wa ZNZ kura zilizopigwa ni 1907 zilizoharibika 4 kura halali 1903.

Majina baadaye!
 
Majuma, Fatma Said Ally, Amin Maburuki, xxx Dau, Asha Bakari Makame
 
Washindi kwa wanawake. CCM BARA

Sofia simba
Kate Silvia kikamba
Asha baraka
Hadija Omari Kopa
Samsha Mwagunga
Rehema Nchimbi
Anna Malecela
Aisha Kidoga
Diana mkumba Chilolo
Anna Semamba Makinda
Pinde Chanda
Zajua Megji
Magret Sita

Full list ya wanawake NEC CCM Bara
 
Washindi NEC Vijana. CCM BARA

Lucy Mahenga
Zainab Mfaume Kawawa
Violet Mzindakaya
Nape Moses
Jerry William Slaa
Sara Msfari Ali
Seleman Chambi
Benard Malisa
Edwin Sanda
 
hongera mama Ana Malecela,kambi ya Sumaye naona inaanza kurudi
 
Back
Top Bottom