Live: Kizota Dodoma

Live: Kizota Dodoma

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
Hawa ni Kundi la Wazazi Bara NEC CCM

Stela manyanya
Zainab Gama
Musa Assan zungu
Adam Malima
Muhamed Nondo
Richard Said Nyaulawa
 
Washindi NEC Vijana. CCM BARA

Lucy Mahenga
Zainab Mfaume Kawawa
Violet Mzindakaya
Nape Moses
Jerry William Slaa
Sara Msfari Ali
Seleman Chambi
Benard Malisa
Edwin Sanda


Hongera sana vijana kwa kuingia NEC, kuna majina 2 au 3 hapo naona ni vijana haswa nikimaanisha well below 30 yrs old. Hongereni sana
 
Washindi kwa wanawake. CCM BARA

Sofia simba
Kate Silvia kikamba
Asha baraka
Hadija Omari Kopa
Samsha Mwagunga
Rehema Nchimbi
Anna Malecela
Aisha Kidoga
Diana mkumba Chilolo
Anna Semamba Makinda
Pinde Chanda
Zajua Megji
Magret Sita

Full list ya wanawake NEC CCM Bara

..inaonekana vingine!ila uki-quote unaiona vingine pia!
 
mambo ya urithi wa vyeo,.....vyeo kwa ukoo
 
Kwa kiasi kikubwa majina ni YALE YALE tu..tangu miaka hiyoooo ya TANU mpaka leo...kinachobadilika hapa ni zamu ya watoto sasa. Mwendo wa kurithishana utadhani Tanzania ni nchi ya Kifalme.
 
Hawa ni Kundi la Wazazi Bara NEC CCM

Stela manyanya
Zainab Gama
Musa Assan zungu
Adam Malima
Muhamed Nondo
Richard Said Nyaulawa

mbona mtandao mtupu....Yuko wapi Dicken Shindika..huyu naona mtandao haumpendi,
 
Kwa kiasi kikubwa majina ni YALE YALE tu..tangu miaka hiyoooo ya TANU mpaka leo...kinachobadilika hapa ni zamu ya watoto sasa. Mwendo wa kurithishana utadhani Tanzania ni nchi ya Kifalme.

Mkuu ulitarajia tofauti, pole sana? Lakini pia tutambue hawa ndio waliogombea, sasa lazima wangechaguliwa miongoni mwa waliogombea na sio vinginevyo. ndio yaleyale, watu hawajitokezi lakini wanataka majina yabadilike! Mwanzo wa kubadilika majina ni watu kujitokeza. Hili ni tatizo hata katika vyama vingine pia. Vijana wa kitanzania mnahitaji kuchamgamkia siasa kama mnataka kushiriki moja kwa moja katika kuleta mabadiliko. Ifike mahala pia vijana mtambue kuwa tupo katika mfumo wa vyama vingi, kwa hivyo hakuna sababu ya kuendelea kushindiliana katika chama kimoja. Njooni pia katika vyama vya upinzani muonyeshe vipaji na uwezo wenu.
 
Kudi la watu 20 kutoka Zanzibar.

Mohamed Shein
Shams Vuai Naotha
Husein Ali Mwinyi
Mohamed Bilali
Sale Feruzi
Muhamed Khatibu
Samia Hassan
Kidawa Sale
Salim Msabaha
Hadija Abood
Mansuru Hemed
Omari Yusufu Mzee
Balozi Seif Iddi
Mohamed Moyo
Modilin Sirus
Prof. Makambe Mnyaa
Vuai Ali Vuai
Brig. Adam Mwakanjuki
Edinton Kisasi
Shau Abdala Hamisi



NOTE: Majina menngine nimekosea kuspell!
 
hongera beno Malissa,from 2004 UD mpaka 2007 UNEC....
 
Back
Top Bottom