Live: Kizota Dodoma

Live: Kizota Dodoma

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
Leo nimemwona Zuma wa ANC anaongea kuhusu brotherhood ya CCM na ANC. Nikawa najaribu kumpicture mzungu mmoja wa hawa Conservatives wa UK akiongelea partnership yao na CHADEMA na historia ya Ukoloni na koloni...kwenye mkutano mkuu wa CHADEMA.

CCM ina historia nzuri sana, wanatakiwa wailinde kwa nguvu zote bila kuachia wachache wafanye wanachotaka kupitia mgongo wake.

Nikasoma sehemu ya Speech ya Mwenyekiti wa CHADEMA

"This is the very democracy Mr. Chairman and distinguished delegates, which is so desirable but is yet so elusive in practice. Probably the most overused and misused word in the political language is this word democracy! Everybody uses it, identify with it but hardly if ever practices it!

Mr. Chairman and distinguished delegates, while we cannot avoid representational democracy, we must make sure to recognize the individual wills, within the public will.
What I am advocating is the need to re-examine our representational base vis-a-vis individual within that base. Our party slogan is "PEOPLES POWER". It acts as a constant reminder for us that ultimate power resides in individual.

source: http://www.du-africa.org/news/2004/dar/spch1_mbowe.php

Naomba nimsahihishe Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kumwambia asitumie neno Everybody ambalo linam"include" yeye na wengine(ikiwamo CCM). Tunaona wenzake wanafanya uchaguzi. Kama yeye ni Mwenyekiti kwa kurithi kutoka kwa baba mkwe (ndio hiyo PEOPLE'S POWER slogan?) wenzake wanagombania.

"While we cannot avoid representational democracy" - Sasa angetaka ai"avoid?

Tuendelee kusubiri tukiongea...
 
Leo nimemwona Zuma wa ANC anaongea kuhusu brotherhood ya CCM na ANC. Nikawa najaribu kumpicture mzungu mmoja wa hawa Conservatives wa UK akiongelea partnership yao na CHADEMA na historia ya Ukoloni na koloni...kwenye mkutano mkuu wa CHADEMA.

CCM ina historia nzuri sana, wanatakiwa wailinde kwa nguvu zote bila kuachia wachache wafanye wanachotaka kupitia mgongo wake.

Nikasoma sehemu ya Speecha Mwenyekiti wa CHADEMA

"This is the very democracy Mr. Chairman and distinguished delegates, which is so desirable but is yet so elusive in practice. Probably the most overused and misused word in the political language is this word democracy! Everybody uses it, identify with it but hardly if ever practices it!

Mr. Chairman and distinguished delegates, while we cannot avoid representational democracy, we must make sure to recognize the individual wills, within the public will.
What I am advocating is the need to re-examine our representational base vis-a-vis individual within that base. Our party slogan is "PEOPLES POWER". It acts as a constant reminder for us that ultimate power resides in individual.

Naomba nimsahihishe Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kumwambia asitumie neno Everybody ambalo linam"include" yeye na wengine(ikiwamo CCM). Tunaona wenzake wanafanya uchaguzi. Kama yeye ni Mwenyekiti kwa kurithi kutoka kwa baba mkwe (ndio hiyo PEOPLE'S POWER slogan?) wenzake wanagombania.

"While we cannot avoid representational democracy" - Sasa angetaka ai"avoid?

...

kuna kipindi walitaka kuweka matokeo ya mbowe hapa JF baada ya yeye kwenda UK kunoa ubongo, naskia alipata C- kwenye English 101, so alivyoongea pale i can understand him where he comes from !
 
BACK WITH UPDATES LIVE - BILA ZENGWE

Kura za wajumbe wa NEC ishirini tayari zimepigwa, hapa zinakwenda kuhesabiwa

112007-11-05_004835.jpg

112007-11-05_004809.jpg

112007-11-05_004709.jpg

112007-11-05_004621.jpg

112007-11-05_004606.jpg

Bado wajumbe wanamoyo wakusubiri matokeo japokuwa ni usiku saa saba!

112007-11-05_004553.jpg

112007-11-05_004953.jpg

112007-11-05_005000.jpg

112007-11-05_005005.jpg

112007-11-05_005008.jpg

112007-11-05_005044.jpg

112007-11-05_005204.jpg

Hapa ni ni wajumbe wamekubaliana na Utaratibu wa JK wa kwamba zipigwe kura tatu kwa wakati moja. Za Mwenyekiti, na makamu wake wawili. Wajumbe wakaambiwa wanyoshe mkono kama wanakubaliana nao. Wote wakaanyosha!

112007-11-05_005411.jpg

112007-11-05_005321.jpg

Ben alikwepo!
 
poleni sana viongozi wa CCM kukaa usiku wote huu kuchagua viongozi makini ! maana hata democrats kuna siku waliamua na wakaenda na magodoro yao Congress na kulala huko ! kamueni wazeeeeeee !
 
kuna kipindi walitaka kuweka matokeo ya mbowe hapa JF baada ya yeye kwenda UK kunoa ubongo, naskia alipata C- kwenye English 101, so alivyoongea pale i can understand him where he comes from !

Kada mimi matokeo sijayaona mbona umeweka na kuyaondoa? au ndio sadakalawe mwenye kupata, kapata na mwenye kukosa kakosa!

Teh teh teh
 
heheee, mwenye kupata kapata mwenye kukosa kakosa, na nitasitisha kwa sasa kuweka matokeo, (heheeeee, unakumbuka haya maneno lakini ?)
 
Nimepata Taarifa Kutoka Huko Dodoma,matokeo Hayatatangazwa Tena Leo,bali Yatatangazwa Kesho,wajumbe Wote Watakutana Tena Kesho Saa Tano Kamili Kwa Ajili Ya Kutajiwa Matokeo Yao,
 
Mwenyekiti mtarajiwa(Kikwete) na Makamu wake watarajiwa(Karume na Msekwa) wameombewa kura na Makamba. Kwa hiyo ndio kwanza shughuli mbichi.

Naona Komba anaburudisha pale...
 
Jk Is Never And Has Never Been Serious...analonga Longa Tu! Nashangaa Kwa Nini Watu Bado Wanapoteza Muda Kumsikiliza! No Wonder Wajumbe Kwenye Picha Wanaonekana Wamenuna....
 
Nimepata Taarifa Kutoka Huko Dodoma,matokeo Hayatatangazwa Tena Leo,bali Yatatangazwa Kesho,wajumbe Wote Watakutana Tena Kesho Saa Tano Kamili Kwa Ajili Ya Kutajiwa Matokeo Yao,

Hiyo haitakuwa sahihi kwani kuna kikao cha Bunge kesho na wabunge wote wa CCM ni wajumbe wa mkutano mkuu na huwezi kuakhirisha bunge kwa ajiri ya mkutano wa chama! Mtakumbuka CUF walivyofanya mkutano wao mkuu Spika mzee six aliwachimbia mkwara akina Hamad Rashid na kuwakata posho zao walipoenda kuhudhuria mkutano mkuu wa CUF Pemba.

Sasa tunataka kuona standard hizo hizo zitumike (kama kweli mkutano utaendelea kesho) kwa CCM pia ndio uzuri wa msumemo huwa unakata pande zote
 
112007-11-05_005525.jpg

112007-11-05_005557.jpg

Kina Karamagi walikwepo.......

112007-11-05_005947.jpg

Hapa JK anachia madaraka kama Mwenyekiji wa CCM kupisha uchaguzi huru ufanyike. anayekaimu madaraka ya mwenyekiti kwa muda ni Mzee Ali Hassan Mwinyi

112007-11-05_005957.jpg

112007-11-05_010008.jpg

112007-11-05_010011.jpg

112007-11-05_010021.jpg

112007-11-05_010037.jpg

112007-11-05_010100.jpg

JK anakwenda kuka sehemu wajumbe wanazokaa

112007-11-05_010215.jpg

112007-11-05_010234.jpg

Hapa sielewi JK anasoma nini.

112007-11-05_010249.jpg

112007-11-05_010311.jpg

Kina mama pia wapo sambamba!

112007-11-05_010325.jpg

112007-11-05_010441.jpg

Makamba akitoa matangazo ya jinsi ya kupiga hizo kura tatu kwa wakati moja.
 
Jk Is Never And Has Never Been Serious...analonga Longa Tu! Nashangaa Kwa Nini Watu Bado Wanapoteza Muda Kumsikiliza! No Wonder Wajumbe Kwenye Picha Wanaonekana Wamenuna....

kafanya nini tena ??
 
112007-11-05_011135.jpg

Mwenyekiti wa Muda akitoa matangazo

112007-11-05_011216.jpg

112007-11-05_011221.jpg

112007-11-05_011333.jpg

112007-11-05_011443.jpg

TOT wapo kuburudisha Wajumbe

112007-11-05_011740.jpg

Komba akiburudisha wajumbe

112007-11-05_011809.jpg

112007-11-05_011907.jpg
 
Back
Top Bottom