KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 93
asante babu kwa picha !
Mkutano umekwisha. Matokeo mpaka kesho saa tano.
Kuhusu wabunge, spiika kasema kipindi cha maswali na majibu kitaanza saa tatu na kusitishwa saa nne nna nusu. Saa tano mkutano wa CCM utaanza. Watakaokuwa wanakwenda kwa treni itaondoka saa kumi badala ya saa saba. alafu bunge litaendelea tena saa kumi na moja. Thats it for 2day
Wanaotaka kwenda kulala wakalale tuu, matokeo ni mpaka Keshoooooooooooooooooo.

Hivi jamani, ni kwa nini matokeo hayakutoka leo mbele ya wajumbe? Kwa nini yaahirishwe mpaka kesho? Sitta ndio msimamizi wa kuhesabu kura ni sa ngapi watamaliza kuhesabu kisha alivae joho lake kutoka Uingereza kuanza kikao?
Huu ndio mwanzo wa dhuluma na uhujumu katika mfumo wa kupiga kura Tanzania.

Kwa vile posting nyingi katika mjadala huu zimekuwa za Kada pekee (in large measure), ngoja tumuunge mkono kwa kufikiri vya kufikirika.
What if, katika maigizo haya ya domokrasia huko Kizoto; atokee mtu (fisadi hasa, big time), mwenye mapesa ya kutupa tu.
Huyo mtu apite kwa wajumbe wa mkutano mkuu usiku huu akimwaga greenbucks za Kichaka Bush - $1000 kila mjumbe atakayekubali kupiga kura ya "HAPANA" kwa Mwenyekiti asichaguliwe kuendelea na wadhifa huo.
Kama tunavyojua uchu na uchoyo wa wajumbe wa chama siku hizi - hebu fikiria kizaazaa hicho.
Tungempa kazi hiyo ya kwenda kugawa hicho kifurushi Kada......mmmmh; hataiweza kazi hiyo. Tumpe nani yule......? Pendekezo la Kada linaeleweka; tunamwomba asitutajie.
Bunge la Muungano wa Tanzania linabadilishiwa muda, ili kupisha mkutano wa CCM, now talk about getting our priorities twisted..
Hivi jamani, ni kwa nini matokeo hayakutoka leo mbele ya wajumbe? Kwa nini yaahirishwe mpaka kesho? Sitta ndio msimamizi wa kuhesabu kura ni sa ngapi watamaliza kuhesabu kisha alivae joho lake kutoka Uingereza kuanza kikao?
Huu ndio mwanzo wa dhuluma na uhujumu katika mfumo wa kupiga kura Tanzania.
Bunge la Muungano wa Tanzania linabadilishiwa muda, ili kupisha mkutano wa CCM, now talk about getting our priorities twisted..
Ktk mara kadha wa kadha, ambazo ni chache ninazokubaliana nawe hii ni moja wapo. Translation hapo ni kuwa CCM is Bigger than Serikali ya Dar, which is sad to know, but eazy to find out!!!..........lakini mie najifariji NE Pats wamechukua big win against Colts!. Holla, next stop kwenye Conference finals!!. Li-Tanzania hilo, kazi ipo kweli kweli.