Live: Kizota Dodoma

Live: Kizota Dodoma

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
Naomba niseme kidogo. Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa JF kwa karibia mwaka. Nimegundua kwamba jamboforums kuna rangi nyingi sana when it comes to politics in Tanzania. Muhimu zaidi, wengi wa Jamboforums wanaonyesha bado wana imani na chama chao cha mapinduzi kwani wakati wa chaguzi hizi huwa wanakuwa wana base hoja zao zaidi on nini kitaimarisha au kuvunja chama. Ukweli huu huwa unazidi kujiidhirsha nyakati hizi za chaguzi ambapo wengi huwa wanakuwa na preferences za on nani awe au asiwe kiongozi ndani cha chama cha mapinduzi na kusahau kabisa how hizi development can or should shape upinzani. Mbali zaidi, kama kawaida, siasa za kusengenyana na kuanikana na vilevile kutafutiana kashfa humu jamboforums huwa hazikawii kujitokeza baada ya chaguzi. Hakika nyakazi za chaguzi za ccm ni muda mzuri sana wa kuchambua msimamo wa wana jamboforums wengi sana. wengi hawapo consisent na misimamo yao ya kisiasa. Hili ni bayana kama ukitumia muda wako kidogo kuangalia historia ya postings za watu kadhaa humu over time. In other words, wengi humu hawana dira. tusubiri matokeo ya NEC yapite na tutaona haya kwa mara nyingine tena.

Unachokiita "kukosa dira miongoni mwa wengi wa wana JF" kinaweza kumaanisha pia "uchungu kwa taifa letu la Tanzania".Nakubali kuwa inawezekana kuna watu hawaipendi CCM,hilo sio kosa katika zama hizi za demokrasia ya vyama vingi,na isingekuwa kosa hata kama JF yote ingekuwa haiipendi CCM.

CCM ni chama tawala,na ndicho chenye dhamana ya kulifikisha taifa letu huko tunakotaka lifike.However,kwa vile TANZANIA inayoongozwa na CCM sio ya wana-CCM pekee,then Watanzania wote wanaCCM na wasio-wanaCCM wana kila sababu ya kuizungumzia CCM katika masuala yanayogusa mustakabali wa Taifa.Wenye upeo mdogo wataendelea kuijadili nchi yetu kwa mtizamo wa kichama lakini wenye mapenzi ya dhati watajali zaidi maslahi ya taifa kuliko mtu mmoja au chama.Ikumbukwe kuwa vyama vya siasa huzaliwa na pengine kufa lakini TAIFA NI LAZIMA LIDUMU MILELE (hapo "lazima" haimaanishi "naturally" bali "by hooks and crooks")
 
Kweli kabisa, ndioa maana wengine tunapigana kufa na kupona kuona mambo yanakwenda kule tunakotaka. Tanzania lazima ibaki Tanzania, vyama vinapita tu.
 
well said and its about to be done !
 
Mbona majina yanayopendekezwa ni ktk list kubwa ya wahujumu uchumi kuliko wenye nia nzuri na nchi yetu?...wachache sana ni watu makini....
Je, kuna uhakika gani kuwa list ya watakaochuaguliwa haiwezi kuwa ni wale wenye siasa endelevu - Kuuza nchi, by all means.
 
Mwanakijiji,

Si tumesoma hapa kwamba CCM wamebadilisha katiba ili waziri mkuu na waziri kiongozi wawe wajumbe wa NEC na CC, kwahiyo Lowassa wala hata hahitaji kugombea, huenda jina lake likaondolewa kwenye
hilo kapu la wajumbe 20.

Huu basi ni ujanja ambao mtandao wameona wautumie.Nadhani JK na Waziri wake Mkuu (Lowassa)wamejifunza yaliyowakumba kwenye uchaguzi wa NEC 2002 ambapo walikuwa wabwagwe. These two were doomed for failure in 2002 NEC elections. The plan was to kick them out so that they loose strength and popularity among CCM members for 2005 elections. Sasa mtandao hawataki kurudia kosa, mwenzao kikwete hapigiwi kura, kabakia lowassa na lowassa wakati huu for sure asingeweza kuongoza kwa kura nyingi NEC so itakuwa they have decided to save Mtandao for embarrassment. Itakuwa hali ngumu sana kama waziri mkuu anakuwa mtu aliyepata kura ndogo kwenye uchaguzi wa NEC. Hili suala la kumweka waziri kiongozi ni kutupiga mchanga wa macho tu, suala la msingi hapa ni kumlinda Lowassa asiaibike. In my view, this wont help in the long run. Kama kweli you think you are a leader, stand and face the music kwa njia ya kupigiwa kura, not to mess around with katiba ya chama ili ikulinde.

Tunawasubiri 2010 majimboni.
 
matokeo haya hapa,

nitaleta mengine baadae, muda mfupi !

Teh he he he...Kada unanikumbusha mambo ya picha hapa. At least nimecheka kidogo...Ndio maisha, tunasonga mbele. Vita vyote vya ideology vinavyopiganwa hapa, baadaye tunaangalia nyumba na kusema...laiti tungejua...au better... we did well!
 
mpo tayari kugawa kanga, kofia, vipeperushi, scarf, na shilingi 5,000 babu ? ukizingatia ruzuku wa wapinzani wote combined sidhani hata kama zitaifikia nusu ya ruzuku ya chama tawala, jumlisha na fedha za wadhamini !

mtakuwa kama malori yaliyoishiwa mafuta !
tunawasubiri kwa hamu !
 
Wacha kutufanya wajinga. hakuna majina uliyoweka zaidi ya kuacha nafasi tupu. Kuwa na Heshima!!!!!!!!!

majina mboni nimeweka, basi subiri niandike mwenyewe maana nilifanya kucopy na kupaste !

sijamfanya yoyote mjinga, najua wote mna akili ndio maana mliwahi chap chap kuangalia ! AUDIENCE TRAP !!
 
Teh he he he...Kada unanikumbusha mambo ya picha hapa. At least nimecheka kidogo...Ndio maisha, tunasonga mbele. Vita vyote vya ideology vinavyopiganwa hapa, baadaye tunaangalia nyumba na kusema...laiti tungejua...au better... we did well!

kula 5 ze insajenti !

nilikuwa natengeza buzz bana lakini wao hawakustukia ! sasa wanajua nadhani !

stay tuned ! majina zaidi baadae !
 
Tukumbuke waziri mkuu, ni Mbunge wa kuchaguliwa, aliyepitishwa na chama, mteule wa rais anayethibitishwa na bunge... it is nonsense apigiwe kura nyingine ili aingie NEC/CC: kwa authority kichama yuko even juu ya spika, maana spika sio lazima awe mbunge wa kuchaguliwa.
 
Back
Top Bottom