Sana mkuu tupo pamoja. Sema tu kuna baadhi yetu hubadili mwelekeo wa mada wakishaona wanazidiwa hoja, ndio maana raia mwema anashangaa. Tatizo sasa kijiwe kinabadilika nakuwa cha mipasho na udaku. Mtupori kawa Idimi, kabadili jina. Sababu ni kuwa kuna mtu anajiita 'Mtu pori'. Nikamwachia jina, sitaki makuu...raia,sijui kama we ni mwema kweli,ila,karibu!
..hili baraza ni pana sana na lina kila aina ya watu,wenye kila aina ya msimamo na wengine hawana kabisaa!
..nadhani kitu cha muhimu si kuwa katika upande gani wa kisiasa,bali,ni uwezo wa kutoa mawazo ya nini kifanyike ili nchi yetu iweze songa mbele vizuri na kwa manufaa ya wengi!
..kuna kipindi issues zilikuwa zinakatwa hapa mpaka ilitia msisimko!hali si hivyo kwasasa!kwani majungu yamezidi!focus imepotea...unajikuta unaongea au kuchangia pumba!
..kama nilivyosema awali,hili ni baraza na baraza ni watu!sasa,kwenye wengi kuna mengi na ndio haya!ila,naamini ipo siku tutarudi kwenye kukata issues baada ya huu upepo mbaya wenye pepo baya utakapopita!
..wapo watu kama fd,dua,mjj,mkandala,philemon mikael,kithuku,jokakuu,masatu,invicible,kada,mwafrika wa kike,samvulachole,mtupori,fmes,drwho,mtumwitu,na wengine ambao nadhani wamebadilisha majina. hawa walikuwa wanakata ishu si mchezo...ila siku hizi....aagh!tuache huu upepo upite!
..kuwa na subra,hii ndio tanzania!
Lowassa kuanguka?
Lakini danganya toto ya kuunda kamati maalum ya madini yenye upinzani, wasomi na wataalam hapo nampa heko JK kwani kina Zitto, Slaa.. wasipokuwa makini, ndio atakuwa amewapiku. Pia kamati hii italishwa vizuri na mambo yatakuwa kimya over time huku rasilimali zeti zikiondoka kwa mwendo ule ule. Dawa hapa ni upinzani kukataa upumbavu wa kamati za kienyeji Tanzania ambazo tumeshachoka nazo.
Lowassa kuanguka?
Leo JK kadhihirisha kwamba hakuna Dr.Nchimbi ila ndugu Nchimbi na wengine wote wenye real PhD waliitwa Dr.so and so . Patamu hapo.Lunyungu kuna habari gani huko ? Mzee kaachia for real ama bado tu ?
Ukisoma Mwananchi ya juzi ndugu Mtanzania utakuta habari ya Malecela kupotea ukumbini baada ya jina Msekwa kuletwa hadharani.
Naona wazee wa mabreaking news wameshindwa kuleta mavituz, ngoja tukalale sasa, tutasoma kesho.