Mentor ku mkuadia mtu maana yake nini? Unajua madame B alipo sasa ivi?
Nyie wewe na Vien Petrol wote waongo hakuna alie ondoka na firstlady
Subiri aje Mentor atakujibu, yeye ndiye yuko karibu na dada muuzaji......
lipo opp na Siaradibii ya Azikiwe au Mafuta House(Ben Mkapa Towers)....
Shauri yako wee ringa tu, wenzio twajiuliza tutampataje, fanya makosa uone.
Cc: charminglady na watu8
Ewaaa utakuwa umenipata. Halafu uzuri pale ukinitumia SLP naipata haraka sana kuliko ukinidipu.
Tumia S.L.P 76553 dsm.
haya bana
ni njia mojawapo ya kupunguza/kutuliza/kuondoa stress.
Kuna kitu kinamiss hapa.. mie naona shangwe tu mbona hawatupi mrejesho nyuma wa agenda maalumu ya kukutana?? au tuvute subra mnaandaa?
cc Mtambuzi
Yupi huyo maza gani??Mkubwa ulifika salama!??
Halafu yule maza pale pembeni alikumind sana. Aliniita akasema alikuwa amekupenda mwanzoni alafu ukamcheka..ulimkata stimu. Akataka alianzishe na mimi...heheheh..btw eti ni mtoto wa professor yule. sijui nimrudie leo....
Ahhaa kumbe? Kwa hiyo haikuhusu JF Dar wing kama ilivyopaswa iwe?..Diskasheni yetu ilihusu zaidi waliokuwepo...!!!
Poa hila huyo bebe wako asije akaning'oa ya mbele ila juzi kakutelekeza mbona fuatilia thread kuna maali amesema amelala na FirstLady ila ongea taratibu asisikie sawa??usimalize basi nibakshie nami nije kufaudu! Mamboz?
ha haaaa, umeenda chaka mbaya kabisa shem.....Wewe si ndiye yule mama Mtu mzima uliyevamia meza ukaondolewa na dada muuzaji akakuweka ile meza ya pembeni karibu na sehemu ya kuingilia..
Mie nilikuona ukifuatilia mazungumzo yetu huku ukitabasamu na gauni lako jeusi la chirmen
Ehee inamaana amelala baada ya shughuli ya kusukuma 109??
Poa hila huyo bebe wako asije akaning'oa ya mbele ila juzi kakutelekeza mbona fuatilia thread kuna maali amesema amelala na FirstLady ila ongea taratibu asisikie sawa??
Hebu tukutane basi ulipe lile deni....