DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbowe akigundua kuwa njama zake na G55 wake zipo wazi kwa sasa hakuna Siri, atafanya mipango aachiwe haraka ili kukwepa lawama
Unaandika upumbavu tu. Thread nzima umeijaza na vimessage vyako vya ufitini. Hovyoooo.
 
Nafikiri kuna some terms (mazungumzo) watakuwa wanafanya na Ofisi kubwa ili kujaribu kulimaliza hili kabla ya hearing.

Hili jambo linamchafua sana her excellence both internally and externally
Umeongea point kubwa sana Kuna Mazungumzo sema Mnyapaa naye ni Mgumu sana utafikiri Chief Mkwawa daahh
 
Hivi Tanzania tumerogwa na nani? Kwenye Riport ya CAG Kuna wezi wamekwapua pesa za Umma heti wako wanaangaika na Lissu shame kabisa hii nchi wezi wa rasilimali za nchi wanadunda alafu watu ambao hawana hatia ndo wanasumbuliwa mtu kudai Tume huru inakua nogwa Tume huru itasandia kila mtu atakae taka kuingia kwenye siasa
IMG-20240826-WA0002.jpg
 
View attachment 3308510
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amehamishwa gereza la Keko alikokuwa akishikiliwa, huku mahali alikohamishiwa pakiwa hapajulikani.

Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi alipoulizwa kuhusu taarifa hizo alisema bado hajazipata.
halipoulizwa kama kuhamisha watuhumiwa na wafungwa ni siri, amesema, "Inategemea na makosa, yapo makosa wanahamishwa kwa siri na yapo makosa hawahamishwi kwa siri." Alipoulizwa kuhusu tuhuma za Lissu, alisema, "Ngoja nifuatilie kwanza."

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa ,Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia leo Ijumaa, Aprili 18, 2025, imesema viongozi wa Chadema akiwamo Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Wakili Ali Ibrahim Juma, Mawakili, wanafamilia na wanachama kwa nyakati tofauti, wamefika katika Gereza la Keko kumwona Lissu, lakini hawakufanikiwa kumwona.

“Juhudi zao za kumuona Mhe. Lissu hazikufanikiwa baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika gereza hilo, cha kusikitisha, hawakupewa maelezo yoyote rasmi juu ya alipopelekwa.”

Chama hicho kimelitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya Dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Lissu.

“Iwapo bado anashikiliwa katika Gereza la Keko, ni haki ya familia, viongozi na wanachama kumuona - ni haki ya msingi ya kibinadamu na kikatiba,” amesema Brenda.
Lissu tupo naye huku msasani. Kwani nyie mbamtaka wa nini?
 
Ni kweli ana huo msimamo, lakini Kila mtu huwa ana mtu anayemheshimu na kumsikiliza

Huenda akina Mzee Warioba watakuwa wameshaenda kuteta naye out of camera
Most likely.... CCM watakuwa wanamtumia Warioba to calm down hii pressure walionayo.
 
At this point, he is going to have his mind twisted to accept the offer on the table

His highly respected friends are going to be the card to seduce him
Inawezekana but itakuwa ni win win situation sidhani kama atakubali kitu kwenye plate sababu kuu ni karba yake Tabia haibadiliki , na Lissu inaonekana alijioanga muda mrefu nje kabla ya ndani Kimataifa ana back up kubwa sana kuliko mwanasiasa yeyote kutokea Tanzania

Nafikiri kwake ni mabadiliko hataki kingine maana alishawahi kufa Hana Cha kupoteza Wala Cha kufurahia
 
Mleta taarifa ni Anonymous na Guest habari kutoka chunguni kabisa nafikiri atakuwa Mmoja ya walio kwenye mchezo
 
Back
Top Bottom