DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi Tanzania tumerogwa na nani? Kwenye Riport ya CAG Kuna wezi wamekwapua pesa za Umma heti wako wanaangaika na Lissu shame kabisa hii nchi wezi wa rasilimali za nchi wanadunda alafu watu ambao hawana hatia ndo wanasumbuliwa mtu kudai Tume huru inakua nogwa Tume huru itasandia kila mtu atakae taka kuingia kwenye siasa
 
We mwehu acha ushabiki km zombie, huyo nyau si ni yuleyule wa 2020 aliyekimbilia ubalozi wa Ujerumani akatokomea Ulaya? We hujui maana ya dola, ustaarabu wa Rais ulikuwa unamlinda. Huyo ni nyau mdg sn hakuwahi ht kuwa na kacheo, aliyekuwa Rais wa Zanzibar aliwekwa kizuizini mpk anakufa, huyo nyau ni nani.
Nyau n ww una lia huku kwenye maficho. Traaash aka kima fantaaaz
 
Hivi Tanzania tumerogwa na nani? Kwenye Riport ya CAG Kuna wezi wamekwapua pesa za Umma heti wako wanaangaika na Lissu shame kabisa hii nchi wezi wa rasilimali za nchi wanadunda alafu watu ambao hawana hatia ndo wanasumbuliwa mtu kudai Tume huru inakua nogwa Tume huru itasandia kila mtu atakae taka kuingia kwenye siasa
Mkuu wezi ndio wanaongoza nchi sasa unategemea wafungane wao kwa wao. Ni hapana.
 
Polisiccm wanahaha cha kujibu maswali mahakamani wanatamani kumwachia huru hata mda huu lakini mbowe G55 na kamati ya Rohombayaccm wanataka afie jela ili Mbowe arejee kuwa mwenyekiti wa chadema tena
Akirejea mbowe si bora chama kile kife
 
Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison.

Not so sure where exactly is he being taken
Andika kwa kiswahili, Kila siku tunasema mtuwekee jukwaa letu tusiojua kiingereza hamtaki. Ona sasa mada nzuri ila sijaelewa kitu 💯
 
Back
Top Bottom