Mkuu labda uwe unanufaika na mfumo wa CCM ila kwa sisi wananchi wa kawaida tunajua umuhimu wa kuwa na na upinzaniANDAMANENI.Mkione cha moto.Mbona mnalia lia.
Siku kikibaki Chama kimoja ata nyie CCM Mtatamani kuandamana unless uwe miongoni mwa wanufaika wa mfumo
ANDAMANENI.Mkione cha moto.Mbona mnalia lia.