The africanus
Senior Member
- Sep 25, 2021
- 105
- 103
Wewe mbowe itakua alikudinya kinyeo akakuacha.Mbowe mbowe kila dakika.G55 na mbowe wanataka warejee chadema wao ndiyo waratibu wa huu mchezo haramu wa kishetani
Wewe mbowe itakua alikudinya kinyeo akakuacha.Mbowe mbowe kila dakika.G55 na mbowe wanataka warejee chadema wao ndiyo waratibu wa huu mchezo haramu wa kishetani
Fupiakili unayoNIMESEMA TIME AND AGAIN, KUWA KAMA HUWEZI JIBU PITA KULIKO MATUSI. SASA MUULIZE MAMA YAKO KAMA NINA AKILI FUPI, ATAKWAMBIA
Mkuu salute mingi sanaOf course, ile miaka 4 aliyokaa nje akijiuguza ndiyo ilitumika kutengeneza networks
Na to be honest, the guy has connections and influences
Kitu ambacho wapenzi wengi wa Siasa humu, hasa GenZ ambao wengi wanatumika na baadhi ya Wabunge na Mawaziri kama Machawa
Hiyo agenda ya Lissu ina baraka za deep state
Na wanafanya kumtumia kupush hiyo agenda baada ya kuona hakuna mwenye nia ya dhati wa kutoa Katiba mpya na Vijana wengi wamelala Kwa kuangukia kwenye Uchawa na Simba na Yanga zao
Wameona bora Katiba mpya ipatikane ili Nchi iendelee kuwa na amani Kwa kuwa na Katiba imara on the coming years
Maana wote mtakuwa mnakumbuka lile Saga la Uchaguzi wa ndani ya Chama Mwaka 2015 hadi Ben kuingilia kati
Pamoja na ule Uchaguzi wa Mwaka 1995 hadi Mwl akaingilia kati
Kama hawa Wazee wataondoka 5 to 20 years to come, anaweza asitokee Kiongozi mwingine mwenye influence na mandate kama Mwl Mwaka 1995 na Ben Mwaka 2015
MmhMkuu salute mingi sana
Hili ndilo linauzito mkubwa.Huenda alipewa taarifa likiwa limeshatendeka
Ama hakuweza ku-predict consequences zake
Ama ulikuwa ni mchezo wa gizani kumuondolea kukubalika, si mnajua hata kule Dodoma ni faulo ilitumika kumpata yeye na mwenza wake
Lissu na warioba ni marafiki sana na Lissu anamuheshimu Warioba SanaMost likely.... CCM watakuwa wanamtumia Warioba to calm down hii pressure walionayo.
Acha kuwalaumu Polisi wao wanafuata maelekezo kama ambavyo ww unafuata maelekezo ya boss wako.Laumu kaka zako,Mama,Baba,nduguzo,jirani,na rafiki zako kwa kuwa waoga na matahira kwa kushindwa kupigania haki zao na kukubali kuishi kwenye umaskini unaosababishwa na mfumoMatokeo ya kuwapa division 4 silaha na nguvu ya kufanya maamuzi.
Chadema tunalitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Mhe. Tundu Lissu. Iwapo bado anashikiliwa katika Gereza la Keko, ni haki ya familia, viongozi na wanachama kumuona - ni haki ya msingi ya kibinadamu na kikatibaTundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison.
Not so sure where exactly is he being taken
———
UPDATE:
My insider indicates that he has been moved to Ukonga
Leo Ijumaa, Aprili 18, 2025, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Wakili Ali Ibrahim Juma, Mawakili, Familia, na wanachama kwa nyakati tofauti, wamefika katika Gereza la Keko ambapo Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu anashikiliwa.
Hata hivyo, juhudi zao za kumuona Mhe. Lissu hazikufanikiwa baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika gereza hilo, cha kusikitisha, hawakupewa maelezo yoyote rasmi juu ya alipopelekwa.
Chadema tunalitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Mhe. Tundu Lissu. Iwapo bado anashikiliwa katika Gereza la Keko, ni haki ya familia, viongozi na wanachama kumuona - ni haki ya msingi ya kibinadamu na kikatiba.
Imetolewa leo Aprili 18, 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
===========================
KAULI YA MSEMAJI WA JESHI LA MAGEREZA
JamiiForums imewasiliana na Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi kuhusu taarifa hizo ikidaiwa Lissu amehamishwa gereza, amesema “Bado sijazipata hizo taarifa”.
Alipoulizwa kama kuhamisha Watuhumiwa na Wafungwa ni siri, amesema: "Inategemea na makosa, yapo makosa wanahamishwa kwa siri na yapo makosa hawahamishwi kwa siri."
Alipoulizwa kuwa kuhusu tuhuma za Lissu ni kati ya ambazo zimo kwenye lista ya kuhamishwa kwa siri amesema "Ngoja nifuatilie kwanza."
Juzi nikiwa mwananchi nilimuona akiwa kwenye gari la magereza asubuhi anapelekwa usawa wa kibaha kuleTundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison.
Not so sure where exactly is he being taken
———
UPDATE:
My insider indicates that he has been moved to Ukonga
Leo Ijumaa, Aprili 18, 2025, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Wakili Ali Ibrahim Juma, Mawakili, Familia, na wanachama kwa nyakati tofauti, wamefika katika Gereza la Keko ambapo Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu anashikiliwa.
Hata hivyo, juhudi zao za kumuona Mhe. Lissu hazikufanikiwa baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika gereza hilo, cha kusikitisha, hawakupewa maelezo yoyote rasmi juu ya alipopelekwa.
Chadema tunalitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Mhe. Tundu Lissu. Iwapo bado anashikiliwa katika Gereza la Keko, ni haki ya familia, viongozi na wanachama kumuona - ni haki ya msingi ya kibinadamu na kikatiba.
Imetolewa leo Aprili 18, 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
===========================
KAULI YA MSEMAJI WA JESHI LA MAGEREZA
JamiiForums imewasiliana na Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi kuhusu taarifa hizo ikidaiwa Lissu amehamishwa gereza, amesema “Bado sijazipata hizo taarifa”.
Alipoulizwa kama kuhamisha Watuhumiwa na Wafungwa ni siri, amesema: "Inategemea na makosa, yapo makosa wanahamishwa kwa siri na yapo makosa hawahamishwi kwa siri."
Alipoulizwa kuwa kuhusu tuhuma za Lissu ni kati ya ambazo zimo kwenye lista ya kuhamishwa kwa siri amesema "Ngoja nifuatilie kwanza."
Mungu ni MWEMA
Huko ndiko nyumbaniAtakuwa anapelekwa Ukonga Maximum Security Prison
If this is a will of his God .No body can do What Lisu God dont want to happens..So it is writen and So Lets it be done🙏🏽Unajaribu kuwaza kwa hali ya Lissu what if akapata changamoto za ghafla za kiafya na akatutoka akiwa mikononi mwao.
Serikali ijitahidi sana kutokuwa na michezo ya shilingi chooni.
Lipi kati ya hayo matatu Mkuu?Hili ndilo linauzito mkubwa.
Heri ya maandalizi ya Pasaka Mkuu, japo sijapokea mwaliko wako 🤗Mkuu salute mingi sana
Tanzania kuna Maximum security basi ni vile tuu watu wako na hofu!Atakuwa anapelekwa Ukonga Maximum Security Prison