DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Inaonekana hujui Siasa za Tanzania ndugu yangu

Kwani kesi ya Ugaidi ya Mbowe iliishia wapi?

Hakuna shtaka pale, we kaa usubiri kusikia DPP hana nia ya kuendelea na hiyo kesi
Kwahiyo Siasa ni kusema tuvuruge uchaguzi? Kusamehewa kwa Mh.Mbowe akuwezi kuhalalisha makosa ya Lissu..
 
Njoo mahakamani..utueleze unaposema tutashika bunduki ,tutavuruga uchaguzi unakua una malengo gani
Unashindwa ni kutetea hoja yako. Ndio maana ushindani wa ccm ni kusaidiana na dola ili kuwadhibiti upinzani. Sasa mahakamani ndio nije ili uthibitishe hoja yako, ndio unakotegemea?
Screenshot_20250415_093714_X.jpg
 
Nafikiri kuna some terms (mazungumzo) watakuwa wanafanya na Ofisi kubwa ili kujaribu kulimaliza hili kabla ya hearing.

Hili jambo linamchafua sana her excellence both internally and externally
Hii kitu imekua handled very professionally na ndio maana hakuna kelele

The DOMO did let himself down kuongea yasiyofaa na kiongozi

I am sure he is learning kwani hajawahi kuwa kiongozi…. Ni mgeni wa mambo

Acha sheria ilinde katiba
 
Wewe utakufa tu kwani wewe utaishi milele? Wapo wapii akina Iddy Amin Dada, mabutu, bokasa, Elibashiri wa Sudan , Magu na wenzao? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho
 
Unashindwa ni kutetea hoja yako. Ndio maana ushindani wa ccm ni kusaidiana na dola ili kuwadhibiti upinzani. Sasa mahakamani ndio nije ili uthibitishe hoja yako, ndio unakotegemea?View attachment 3308531
Kwahiyo huu ndiyo ushahidi ambao CHADEMA tunaenda kuutumia dhidi ya mashtaka yanayo tukabili?
 
Polisiccm wanahaha cha kujibu maswali mahakamani wanatamani kumwachia huru hata mda huu lakini mbowe G55 na kamati ya Rohombayaccm wanataka afie jela ili Mbowe arejee kuwa mwenyekiti wa chadema tena
Nani kakuambia polisi wTasimama mahakani
 
Hii kitu imekua handled very professionally na ndio maana hakuna kelele

The DOMO did let himself down kuongea yasiyofaa na kiongozi

I am sure he is learning kwani hajawahi kuwa kiongozi…. Ni mgeni wa mambo

Acha sheria ilinde katiba
You have nailed it up buddy... inabidi kujifunza tu.
 
Back
Top Bottom