Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,594
- 123,100
Uje na mkeo mkae mbele mtuonyeshe hicho cha moto.ANDAMANENI.Mkione cha moto.Mbona mnalia lia.
Uje na mkeo mkae mbele mtuonyeshe hicho cha moto.ANDAMANENI.Mkione cha moto.Mbona mnalia lia.
Acha kujaza saver kwa message za kijinga. Wala husaidii kukijenga Chadema kwa ufitini wako huu. Ningekuona wa maana kama ungeenda barabarani kumuokoa Lisu.Kuna watu wa G55 na mbowe wameugeuza mradi wa sasa, wanataka kutumia nafasi hii kumdhoofisha kisiasa ili warejeshe mbowe kuwa mwenyekiti tena, Mbowe anafanya hii kesi kuwa ngumu kwa malengo yake
Sasa hapa umeandika nini? Jenga hoja,achana na mihemko isiyo na tija kwa Taifa letu pendwa. KARIBUZingatia na ufahamu nini nimeandika na kilichonifanya nikatuma hiyo picha usikurupuke mimi siwakulipiwa bando ili nitetee ujinga humu kama nyinyi mnavyofanyiwa huko lumumba.
Hizo shule zenu sijui mlitumia ufahamu gani.
Utaondoka utamuachaTia Sururu tu pumbavu huyu domo.
Kumbe wewe kwaandoh ni muchepuko wa mobutuuhMtazunguka kwenye makarandinga ya polisi mpaka mkome, mbwa nyie
Kama dhalimu magu alivyozungushwa akiwa mzoga hadi mwili ukaanza kubomoka. Mbwa ww.Mtazunguka kwenye makarandinga ya polisi mpaka mkome, mbwa nyie
Amen na iwe hivyoHilo sururu likurudie wewe na uzao wako. Amina.
Humjui huyo? Sio G55 bali ni mbogamboga anayetumika kama fagio la chama ndani chama dhidi ya wote wenye akili wasio kubalika maana kuwa na akili ndani yao ni kosa kama ilivyokuwa kwa Thadei Ole Mushi.G55 😅😅
Kama kapigwa risasi zote hizo na hahitaji ngengeseke basi atulie na wanaeSaa Mia katili sana Mtu kapigwa Risasi zaidi ya 30 bado mnahangaika nae.
Selikali katili sana.
Haki huinua Taifa.
We muchepuko kapikie watotoWe bwege acha uzushi kujifanya unajua hbr za ndani. Ht angehamishwa gereza ni utaratibu wa gereza we nani uwapangie. Unatafuta kiki za kipuuzi kwa kuleta uzushi.
Muambie huyo mwanamke ajitokeze akae mbele na familia yake awanyanyase hao watu maana hawana silaha, ili tuone atanyanyasa wangapi.Walioshangilia kifo cha Magufuli kwa 99% wana matatizo ya akili ni vile tu madaktari hawajathibitisha.
Na matokeo ya dhambi waliyoifanya ndio maana mambo yamewageukia sasa badala ya kupambana na mwanaume mwenzao sasa wananyanyaswa na mwanamke na hawana uwezo wa kumfanya chochote hao MAKHALUUKU TABU.
Policcm wenzi wenzao. ?Kama umeibiwa si uende polisi ukafungue kesi na upewe RB ukamkamate aliyekuibia ?!
Nasisitiza NCHI IKO SALAMA NA ITAENDELEA KUWA SALAMA!
Ni utaratibu wa kawaida lakini taatifa zinafichwa.We bwege acha uzushi kujifanya unajua hbr za ndani. Ht angehamishwa gereza ni utaratibu wa gereza we nani uwapangie. Unatafuta kiki za kipuuzi kwa kuleta uzushi.