Hii inaonesha TISS hawafanyi kazi inavyotakiwa, TISS kazi yao ni kumshauri Rais na sio kumruhusu Rais ajiharibie. Tukikumbuka enzi za kikwete Mbowe alimwita RAIS hamnazo na hakufanywa chochote. Enzi zile kulikuwa na ufisadi lakini ufisadi wote ulifichuliwa. Sasa unamkamata na kumfungulia kesi mtu aliyepigwa risasi zaidi ya 60. Hata mlevi wa gongo atakuona mjinga. Kama Usalama wameshindwa kazi namshauri mama afunge masikio na amsikilize Kikwete na amuulize aliwezaje kuishi na wapinzani kwa amani ?Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison.
Not so sure where exactly is he being taken
———
UPDATE:
My insider indicates that he has been moved to Ukonga
Leo Ijumaa, Aprili 18, 2025, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Wakili Ali Ibrahim Juma, Mawakili, Familia, na wanachama kwa nyakati tofauti, wamefika katika Gereza la Keko ambapo Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu anashikiliwa.
Hata hivyo, juhudi zao za kumuona Mhe. Lissu hazikufanikiwa baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika gereza hilo, cha kusikitisha, hawakupewa maelezo yoyote rasmi juu ya alipopelekwa.
Chadema tunalitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Mhe. Tundu Lissu. Iwapo bado anashikiliwa katika Gereza la Keko, ni haki ya familia, viongozi na wanachama kumuona - ni haki ya msingi ya kibinadamu na kikatiba.
Imetolewa leo Aprili 18, 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
===========================
KAULI YA MSEMAJI WA JESHI LA MAGEREZA
JamiiForums imewasiliana na Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi kuhusu taarifa hizo ikidaiwa Lissu amehamishwa gereza, amesema “Bado sijazipata hizo taarifa”.
Alipoulizwa kama kuhamisha Watuhumiwa na Wafungwa ni siri, amesema: "Inategemea na makosa, yapo makosa wanahamishwa kwa siri na yapo makosa hawahamishwi kwa siri."
Alipoulizwa kuwa kuhusu tuhuma za Lissu ni kati ya ambazo zimo kwenye lista ya kuhamishwa kwa siri amesema "Ngoja nifuatilie kwanza."
Mkuu hivi kwa nini huwa mnawapa TISS sifa wasizo stahili? Hiyo taasisi ina watu wa kawaida sana walio jaa majungu tu. Wanaweza mambo madogo tu, hayo makubwa wanao weza kumsaidia Rais ni vingozi wastaafu, wasomi na viongozi wa dini. Hao TISS waondoe kwenye mawazo yako kwamba wanaweza saidia lolote la maana katika Taifa hili.Hii inaonesha TISS hawafanyi kazi inavyotakiwa, TISS kazi yao ni kumshauri Rais na sio kumruhusu Rais ajiharibie. Tukikumbuka enzi za kikwete Mbowe alimwita RAIS hamnazo na hakufanywa chochote. Enzi zile kulikuwa na ufisadi lakini ufisadi wote ulifichuliwa. Sasa unamkamata na kumfungulia kesi mtu aliyepigwa risasi zaidi ya 60. Hata mlevi wa gongo atakuona mjinga. Kama Usalama wameshindwa kazi namshauri mama afunge masikio na amsikilize Kikwete na amuulize aliwezaje kuishi na wapinzani kwa amani ?
Wewe ni K....ANDAMANENI.Mkione cha moto.Mbona mnalia lia.
Hapanaa....wameenda kuongea nae...alegeze msimamo wamtie.....uchaguzi upute refirm iwe after uchaguzi ....delaying tactics watanzania wajinga.....mno JK alichezea pesa nyingi bunge katiba.........akaachia njianiiiiUkonga moja hiyo!
si ukute analala nyumbani, umweke lisu gereza la kibongo na afya yake ile akifa utajibu nini kwa umoja wa kimataifa? si ukute wamejiongeza aende tu home ila siku ya kesi atabebwa na kuonekana katokea gerezani.Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison.
Not so sure where exactly is he being taken
———
UPDATE:
My insider indicates that he has been moved to Ukonga
Leo Ijumaa, Aprili 18, 2025, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Wakili Ali Ibrahim Juma, Mawakili, Familia, na wanachama kwa nyakati tofauti, wamefika katika Gereza la Keko ambapo Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu anashikiliwa.
Hata hivyo, juhudi zao za kumuona Mhe. Lissu hazikufanikiwa baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika gereza hilo, cha kusikitisha, hawakupewa maelezo yoyote rasmi juu ya alipopelekwa.
Chadema tunalitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Mhe. Tundu Lissu. Iwapo bado anashikiliwa katika Gereza la Keko, ni haki ya familia, viongozi na wanachama kumuona - ni haki ya msingi ya kibinadamu na kikatiba.
Imetolewa leo Aprili 18, 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
===========================
KAULI YA MSEMAJI WA JESHI LA MAGEREZA
JamiiForums imewasiliana na Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi kuhusu taarifa hizo ikidaiwa Lissu amehamishwa gereza, amesema “Bado sijazipata hizo taarifa”.
Alipoulizwa kama kuhamisha Watuhumiwa na Wafungwa ni siri, amesema: "Inategemea na makosa, yapo makosa wanahamishwa kwa siri na yapo makosa hawahamishwi kwa siri."
Alipoulizwa kuwa kuhusu tuhuma za Lissu ni kati ya ambazo zimo kwenye lista ya kuhamishwa kwa siri amesema "Ngoja nifuatilie kwanza."
Chimbuko la TISS ya sasa ni UVCCM unategemea nn hapo??Hii inaonesha TISS hawafanyi kazi inavyotakiwa, TISS kazi yao ni kumshauri Rais na sio kumruhusu Rais ajiharibie. Tukikumbuka enzi za kikwete Mbowe alimwita RAIS hamnazo na hakufanywa chochote. Enzi zile kulikuwa na ufisadi lakini ufisadi wote ulifichuliwa. Sasa unamkamata na kumfungulia kesi mtu aliyepigwa risasi zaidi ya 60. Hata mlevi wa gongo atakuona mjinga. Kama Usalama wameshindwa kazi namshauri mama afunge masikio na amsikilize Kikwete na amuulize aliwezaje kuishi na wapinzani kwa amani ?
Huyo msemaji wa magereza anapaswa kuondolewa maana hana weledi wowote ule. Unaisemeaje taasisi ukiwa hunaufahama wa mambo mengi kama muuza nazi kule nanjilinji.Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison.
Not so sure where exactly is he being taken
———
UPDATE:
My insider indicates that he has been moved to Ukonga
Leo Ijumaa, Aprili 18, 2025, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Wakili Ali Ibrahim Juma, Mawakili, Familia, na wanachama kwa nyakati tofauti, wamefika katika Gereza la Keko ambapo Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu anashikiliwa.
Hata hivyo, juhudi zao za kumuona Mhe. Lissu hazikufanikiwa baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika gereza hilo, cha kusikitisha, hawakupewa maelezo yoyote rasmi juu ya alipopelekwa.
Chadema tunalitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Mhe. Tundu Lissu. Iwapo bado anashikiliwa katika Gereza la Keko, ni haki ya familia, viongozi na wanachama kumuona - ni haki ya msingi ya kibinadamu na kikatiba.
Imetolewa leo Aprili 18, 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
===========================
KAULI YA MSEMAJI WA JESHI LA MAGEREZA
JamiiForums imewasiliana na Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi kuhusu taarifa hizo ikidaiwa Lissu amehamishwa gereza, amesema “Bado sijazipata hizo taarifa”.
Alipoulizwa kama kuhamisha Watuhumiwa na Wafungwa ni siri, amesema: "Inategemea na makosa, yapo makosa wanahamishwa kwa siri na yapo makosa hawahamishwi kwa siri."
Alipoulizwa kuwa kuhusu tuhuma za Lissu ni kati ya ambazo zimo kwenye lista ya kuhamishwa kwa siri amesema "Ngoja nifuatilie kwanza."
Hii inaonesha TISS hawafanyi kazi inavyotakiwa, TISS kazi yao ni kumshauri Rais na sio kumruhusu Rais ajiharibie. Tukikumbuka enzi za kikwete Mbowe alimwita RAIS hamnazo na hakufanywa chochote. Enzi zile kulikuwa na ufisadi lakini ufisadi wote ulifichuliwa. Sasa unamkamata na kumfungulia kesi mtu aliyepigwa risasi zaidi ya 60. Hata mlevi wa gongo atakuona mjinga. Kama Usalama wameshindwa kazi namshauri mama afunge masikio na amsikilize Kikwete na amuulize aliwezaje kuishi na wapinzani kwa amani ?
Huyo msemaji wa magereza anapaswa kuondolewa maana hana weledi wowote ule. Unaisemeaje taasisi ukiwa hunaufahama wa mambo mengi kama muuza nazi kule nanjilinji.
Ndugu sijaipa sifa TISS maana nimebainisha hapo juu kuwa TISS haifanyi kazi inavyotakiwa. Maana kama ingekuwa inafaya kazi haya mambo yangeshaisha zamani sana. Najua mwenda zake aliiharibu kwa kujaza watu wasio na vigezo . Kuna kipindi Tanzania ilikuwa inaheshimika Tanzania , Dar es salaam ilikuwa Berlin ya Afrika kipindi cha coldwar. Tulikuwa na TISS ya kiwango cha juu mpaka tuliwasaidia Biafra, Angola, Msumbiji, Namibia , Ghana na Afrika kusini. Leo hii Bandari zote zimeuzwa na TISS wapo ? Aliyemnasa vibao Jaji Mstaafu aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa na TISS wapo ? Kuna upendeleo wa jamii ya kizanzibari katika teuzi zote za serikali. Na mbaya zaidi wanaoteuliwa hawana sifa na TISS wapo ? Kuna mambo mengi sana chief ambayo yanadhihirisha kuwa nchi haina kitengo cha usalama. Wassira anateuliwa na TISS wapo ? Are we serious kama nchi kweli ?Mkuu hivi kwa nini huwa mnawapa TISS sifa wasizo stahili? Hiyo taasisi ina watu wa kawaida sana walio jaa majungu tu. Wanaweza mambo madogo tu, hayo makubwa wanao weza kumsaidia Rais ni vingozi wastaafu, wasomi na viongozi wa dini. Hao TISS waondoe kwenye mawazo yako kwamba wanaweza saidia lolote la maana katika Taifa hili.
Hatuna kitengo cha Usalama cha kushauri na kupanga hatua za kuchukua. Nchi ingekuwa na TISS imara haya yote yasingetokea. Maana kuiendesha nchi inawezekana Rais akakosea na Usalama ndio husimama na kumwambia ukweli na kumshauri.Huyo msemaji wa magereza anapaswa kuondolewa maana hana weledi wowote ule. Unaisemeaje taasisi ukiwa hunaufahama wa mambo mengi kama muuza nazi kule nanjilinji.
Pointi yangu ni kuwa hatuna TISS imara maana walio huko ndio waliowekwa na JPM na hawana sifa. Miaka ya 80 tulikuwa na TISS imara mpaka tukasaidia nchi nyingi kujikomboa afrika. Lakini leo wakija kutembelea Tanzania ni aibu .Mkuu kumbuka Kazi ya TISS ni kushauri Taasisi ya Urais Kipi kinapaswa kufanyika lakini Maamuzi anafanya Raisi kwa utashi wake na Washauri wake.
TISS wakiamua kumlazimisha afanye kitu fulani ni kupoka Madaraka yake ya kikatiba.
Taharuki ni kubwa Sana, hili jambo linaweza kuleta mgawanyiko kwa jamii yetu, dalili ya mvua ni mawingu..Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison.
Not so sure where exactly is he being taken
———
UPDATE:
My insider indicates that he has been moved to Ukonga
Leo Ijumaa, Aprili 18, 2025, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Wakili Ali Ibrahim Juma, Mawakili, Familia, na wanachama kwa nyakati tofauti, wamefika katika Gereza la Keko ambapo Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu anashikiliwa.
Hata hivyo, juhudi zao za kumuona Mhe. Lissu hazikufanikiwa baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika gereza hilo, cha kusikitisha, hawakupewa maelezo yoyote rasmi juu ya alipopelekwa.
Chadema tunalitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Mhe. Tundu Lissu. Iwapo bado anashikiliwa katika Gereza la Keko, ni haki ya familia, viongozi na wanachama kumuona - ni haki ya msingi ya kibinadamu na kikatiba.
Imetolewa leo Aprili 18, 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
===========================
KAULI YA MSEMAJI WA JESHI LA MAGEREZA
JamiiForums imewasiliana na Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi kuhusu taarifa hizo ikidaiwa Lissu amehamishwa gereza, amesema “Bado sijazipata hizo taarifa”.
Alipoulizwa kama kuhamisha Watuhumiwa na Wafungwa ni siri, amesema: "Inategemea na makosa, yapo makosa wanahamishwa kwa siri na yapo makosa hawahamishwi kwa siri."
Alipoulizwa kuwa kuhusu tuhuma za Lissu ni kati ya ambazo zimo kwenye lista ya kuhamishwa kwa siri amesema "Ngoja nifuatilie kwanza."
Ni hatari Sana!T
Taharuki ni kubwa Sana, hili jambo linaweza kuleta mgawanyiko kwa jamii yetu, dalili ya mvua ni mawingu..
CCM wamesema wanataka wamrudishe kwao Ubelgiji, anawatia hofu mno eti.Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison.