DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
shetani magufuri nchi nzma tulishangilia kasoro wewe mkewe.
Walioshangilia kifo cha Magufuli kwa 99% wana matatizo ya akili ni vile tu madaktari hawajathibitisha.
Na matokeo ya dhambi waliyoifanya ndio maana mambo yamewageukia sasa badala ya kupambana na mwanaume mwenzao sasa wananyanyaswa na mwanamke na hawana uwezo wa kumfanya chochote hao MAKHALUUKU TABU.
 
Wakuu,

20250418_151204.jpg
 
Asante mzee wetu kwa busara zako maana Kuna KIJANA mmoja alisema kwenye nyuziii za ""no reforms no ELECTION"" hajakuona kabisaa 😊😊
Nilikuwa na-observe in silent

Si unajua sisi Wazee hatuna mbio tukikimbizwa 🤗
 
Madai ya mh rais kuchafuliwa na swala hili hayana msingi wowote.
Lisu ni mmoja wa maelfu ya watuhumiwa wa uhalifu walioko huko magerezani ambao uwepo wao magerezani hauna athari ya aina yoyote kwa heshima ya mheshimiwa rais.
Lisu sio mtuhumiwa pekee ambaye yupo gerezani.
Huko gerezani yupo na wenzake wengi tu kwahiyo mwacheni apambane na hali yake hadi siku ya kutoka atakuwa ana adabu kidogo kama ilivyokuwa kwa freeman Mbowe alivyokaa gerezani miezi kadhaa akatoka akiwa na adabu kiasi.
Wapo wapi akina idd Amini Dada, Mabutu, bokasa, sadam Hussein magu na wenzao? Uchawaccm wako usikufanye kujitoa fahamu kuharalisha vitendo vyenu haramu vya kishetani
 
Nafikiri kuna some terms (mazungumzo) watakuwa wanafanya na Ofisi kubwa ili kujaribu kulimaliza hili kabla ya hearing.

Hili jambo linamchafua sana her excellence both internally and externally
Muhimu kwanza ijulikane kapelekwa wapi. Kimasihara tu unashangaa ndo kapotea moja kwa moja
 
Back
Top Bottom