Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,907
- 57,704
Of course, ile miaka 4 aliyokaa nje akijiuguza ndiyo ilitumika kutengeneza networksInawezekana but itakuwa ni win win situation sidhani kama atakubali kitu kwenye plate sababu kuu ni karba yake Tabia haibadiliki , na Lissu inaonekana alijioanga muda mrefu nje kabla ya ndani Kimataifa ana back up kubwa sana kuliko mwanasiasa yeyote kutokea Tanzania
Nafikiri kwake ni mabadiliko hataki kingine maana alishawahi kufa Hana Cha kupoteza Wala Cha kufurahia
Na to be honest, the guy has connections and influences
Kitu ambacho wapenzi wengi wa Siasa humu, hasa GenZ ambao wengi wanatumika na baadhi ya Wabunge na Mawaziri kama Machawa
Hiyo agenda ya Lissu ina baraka za deep state
Na wanafanya kumtumia kupush hiyo agenda baada ya kuona hakuna mwenye nia ya dhati wa kutoa Katiba mpya na Vijana wengi wamelala Kwa kuangukia kwenye Uchawa na Simba na Yanga zao
Wameona bora Katiba mpya ipatikane ili Nchi iendelee kuwa na amani Kwa kuwa na Katiba imara on the coming years
Maana wote mtakuwa mnakumbuka lile Saga la Uchaguzi wa ndani ya Chama Mwaka 2015 hadi Ben kuingilia kati
Pamoja na ule Uchaguzi wa Mwaka 1995 hadi Mwl akaingilia kati
Kama hawa Wazee wataondoka 5 to 20 years to come, anaweza asitokee Kiongozi mwingine mwenye influence na mandate kama Mwl Mwaka 1995 na Ben Mwaka 2015