DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Siku hizi hata barabarani unakutana na magari hayana plate number, gari hazijalipiwa. Kodi zinatembea kona zote hawajali hawaogopi kitu, ccm wapo busy kuwaonea wapinzani
Yeah na kodi zetu wanazitumbua tu kama hakuna watu hii nchi wa kuuliza
 
Mbowe akigundua kuwa njama zake na G55 wake zipo wazi kwa sasa hakuna Siri, atafanya mipango aachiwe haraka ili kukwepa lawama
 
Nafikiri kuna some terms (mazungumzo) watakuwa wanafanya na Ofisi kubwa ili kujaribu kulimaliza hili kabla ya hearing.

Hili jambo linamchafua sana her excellence both internally and externally
Madai ya mh rais kuchafuliwa na swala hili hayana msingi wowote.
Lisu ni mmoja wa maelfu ya watuhumiwa wa uhalifu walioko huko magerezani ambao uwepo wao magerezani hauna athari ya aina yoyote kwa heshima ya mheshimiwa rais.
Lisu sio mtuhumiwa pekee ambaye yupo gerezani.
Huko gerezani yupo na wenzake wengi tu kwahiyo mwacheni apambane na hali yake hadi siku ya kutoka atakuwa ana adabu kidogo kama ilivyokuwa kwa freeman Mbowe alivyokaa gerezani miezi kadhaa akatoka akiwa na adabu kiasi.
 
Nafikiri kuna some terms (mazungumzo) watakuwa wanafanya na Ofisi kubwa ili kujaribu kulimaliza hili kabla ya hearing.

Hili jambo linamchafua sana her excellence both internally and externally
Asante mzee wetu kwa busara zako maana Kuna KIJANA mmoja alisema kwenye nyuziii za ""no reforms no ELECTION"" hajakuona kabisaa 😊😊
 
Back
Top Bottom