Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,280
- 2,980
Ahsante,sema mimi pasaka nimeisha ianza zamani maana kwa utamaduni wa mwana wa Afrika ni kila baada ya mweziTuendelee na maandalizi ya Sikukuu ya Pasaka ndugu yangu
Karibu Jumapili tufurahie kufufuka Kwa Mkombozi wetu Kristo