Hapana mkuu hilo la mr zero sio tusi bali ni jina la utani alilokuwa anaitwa waziri mkuu mstaafu fulan wa awamu fulan, tena jina hilo alipewa na wafuasi wa wapinzani hao hao waliomkaribisha chamani mwaka, pia unatakiwa ujue hilo jina halimuhusu Mbowe.Nafikiri ‘Mr. Zero’ linaweza kuwa tusi?!
Atakuwa amekiacha kiko imara. Ndio maana watu wanaondoka na hakiyumbi.Kwa hiyo Mbowe akifa na chadema inakufa?
Basi Sawa! 🙏, Samahani kwa kukuelewa vibaya!Hapana mkuu hilo la mr zero sio tusi bali ni jina la utani alilokuwa anaitwa waziri mkuu mstaafu fulan wa awamu fulan, tena jina hilo alipewa na wafuasi wa wapinzani hao hao waliomkaribisha chamani mwaka, pia unatakiwa ujue hilo jina halimuhusu Mbowe.
Kinachotakiwa ni dhamira ya kuachia madaraka kwa maslahi mapana ya chama licha ya ushawishi wa baadhi ya wanachama wenye maslahi na uenyekiti wake. Hata mwalimu Nyerere angeendelea kusikiliza maoni ya baadhi wanachama wake asingeng'atuka madarakani.Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.
Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.
Credit: Mwanahalisi
Kwa hiyo leo mbowe akifariki na chadema ndo basi tenaKatika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti
Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.
Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Wewe ndio unajiabisha.Kweny hili la saccos mnajiaibishaga sana, inaonyesha ni jins gan mlivyo na low thinking chuki na wivu wa kike. Mtu ambae utajiri kazaliwa kaukuta atataka nn pale chadema cha kumuongezea kweny utajir wake?
Kwa nini bavichaa huwa wanamtukana Dk Slaa sasa?Katika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti
Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.
Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Kwa hiyo Mbowe akifa na Chadema imekufa? Chadema ni chama cha umma siyo Cha mtu mmoja, ndo maana kinapokea ruzuku ambayo ni Kodi za wananchi wote hata wasiokuwa na chama.Mbowe ni CHADEMA na CHADEMA ni Mbowe.
Bila Mbowe hakuna CHADEMA.
Ila BAVICHA wakisha kula mirungi, wanasema CHADEMA ni Taasisi.
Labda taasisi ndio Mbowe.
Dah haya bhana mimi sina neno .!Kama MAMA yako anavyojitoa kwa babako kubembeleza na kudimisha ndoa.
Madikteta wote duniani kabla ya kupata madaraka, kwanza huchaguliwa au hupendekezwa na wananchi halafu wakishakikalia kiti cha "madaraka" kuwatoa ndiyo huwa mbinde. Mbowe hana tofauti na "madikteta" wengine.Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.
Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.
View attachment 1774522
Chadema kila siku mnasisitiza kutengeneza mifumo imara ya uongozi na siyo kutegemea mtu mmoja. Mbona nyie hamuonyeshi mfano kwenye chama chenu? Kwa hiyo Mbowe akifariki leo na Chadema ndo basi tena?Ndiyo maana wana cdm tunajivunia sana kuwa na mwenyekiti mwenye msimamo usiyo yumbishwa.
Ule usemi wa tulianza na Mungu wala hatukuuokota mitaani bali ulikuwa na chanzo chake na maana yake halisi.
Kwani ccm nayo imekufa?Chadema kila siku mnasisitiza kutengeneza mifumo imara ya uongozi na siyo kutegemea mtu mmoja. Mbona nyie hamuonyeshi mfano kwenye chama chenu? Kwa hiyo Mbowe akifariki leo na Chadema ndo basi tena?
Rubbish in this is the way Lissu tries to glorify Nyerere by a way of association with Mbowe. Ni lissu aliyesema yote ya hovyo juu ya Nyerere wakati wa Bunge la katiba.Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.
Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.
View attachment 1774522
Mimi ni jiweeee na siambilikiiiiiii.Rubbish in this is the way Lissu tries to glorify Nyerere by a way of association with Mbowe. Ni lissu aliyesema yote ya hovyo juu ya Nyerere wakati wa Bunge la katiba.
CCM Wana mfumo mzuri wa kuachiana madaraka kila baada ya miaka kumi, ndiyo maana wanapeta tu.Kwani ccm nayo imekufa?
Katika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti
Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.
Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Mwamba anaunguruma .
Mwenyekiti wangu mie huyo.
Yaani utabaki kuwa Mwenyekiti ili MaCCM yaendelee kuzima mmoja bada ya mwingine .. DADEKI..
leo lumumba na Chamwino washapata kazi yakuwaingizia hela. Ni kumtukana Mzee Mbowe, mpaka vijasho vya kwapani viwatie fangasi.
MaCCM yanamuogopa sana Mbowe.