Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,177
- 7,699
Kwa pesa ipi iliyopo chadema? Nyie sometimes tumieni akili, hiyo mil 106 ya ruzuku š¤£. Achen ushabiki mandazi fuatilia ujue jamaa ana mali au utajiri kias gan. Nilichogundua Mbowe hatakiwi kbs na vijana toka hisani ya watu wa LumumbaWewe ndio unajiabisha.
Matajiri/watu wangekuwa wanatosheka wangeacha biashara zao au miradi yao.