Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Wewe kada punguza fitina. Hili jambo Mbowe ameliongelea leo. Cdm ni mali ya waTz na Mbowe ni mwenyekiti wa tatu tangu kuanzishwa kwake. Tanu/Ccm wana miaka zaidi ya sitini na Samia ni mwenyekiti wa sita. So mambo mengine ni maswala ya nyakati .
Nyakati gani Kamanda, mwenyekiti kashindwa kuleta mabadiliko inabidi aondoke.
 
Katika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti

Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.

Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Unataka kusemaje mkuu? Well, kuna haja ya kujenga taasisi imara na sio miamba ya watu imara ili kuwaandaa wengine kuchukua uongozi linapotolea la kutokea
 
Mimi nadhani kama Mbowe akitaka kuwa mwenyekiti wa maisha na wanachama wakakubali kumchagua kwa kuendelea kumpigia kura, let it be.

It is their party afterall na labda hawaoni kama kuna watu wengine wenye kipawa cha kuongoza, which of course is an insult to those who think they are capable to lead the Party
 
Nyakati gani Kamanda, mwenyekiti kashindwa kuleta mabadiliko inabidi aondoke.
Aondoke bila vikao na sababu ?!. Huko kwenu ubongo mnamuachia nani wakati wa ku urgue. Sababu za Samia kukalia hicho kiti ni kifo cha mwendazake . Vinginevyo ....

Mbowe aliombwa kwenda awamu ya tatu kwa sababu alihitajika. Waliojaribu kuwania hicho kiti , walikuwa waunga juhudi mkono (Mwambe). Nyalandu amerudi huko. So Cdm wanajua ni nani wanamtaka
 
Huko kwenye chama chenu CCM mmeshindwa kuelewana?

20210417_102939.jpg
 
Back
Top Bottom