Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Yaan wana CCM wanashindwa kuwa buzzy na Lumumba yao, kutwa kumuwaza mbowe, na atawanyoosha sana. Maan muda ndo kwanza asubuhi.
 
Nafikiri ‘Mr. Zero’ linaweza kuwa tusi?!
Hapana mkuu hilo la mr zero sio tusi bali ni jina la utani alilokuwa anaitwa waziri mkuu mstaafu fulan wa awamu fulan, tena jina hilo alipewa na wafuasi wa wapinzani hao hao waliomkaribisha chamani mwaka, pia unatakiwa ujue hilo jina halimuhusu Mbowe.
 
mada za aina hii hazitufikishi popote kamanda, huu ni wakati wa kuanza kudai ile katiba mpya
 
B
Hapana mkuu hilo la mr zero sio tusi bali ni jina la utani alilokuwa anaitwa waziri mkuu mstaafu fulan wa awamu fulan, tena jina hilo alipewa na wafuasi wa wapinzani hao hao waliomkaribisha chamani mwaka, pia unatakiwa ujue hilo jina halimuhusu Mbowe.
Basi Sawa! 🙏, Samahani kwa kukuelewa vibaya!
 
Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.

Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.

Credit: Mwanahalisi
Kinachotakiwa ni dhamira ya kuachia madaraka kwa maslahi mapana ya chama licha ya ushawishi wa baadhi ya wanachama wenye maslahi na uenyekiti wake. Hata mwalimu Nyerere angeendelea kusikiliza maoni ya baadhi wanachama wake asingeng'atuka madarakani.

Mbowe amekaa madarakani kwa zaidi ya miaka 15 Kama mwenyekiti wa chama. Muda huu unatosha kabisa kwa kiongozi kuonyesha kipaji chake cha uongozi. Akiwa Kama kiongozi anao wajibu wa kuandaa viongozi wataoweza kuchukua mikoba yake baada ya kustaafu. Inatia ukakasi unaposikia eti hakuna mtu mwenye uwezo wa kuongoza chama Kama mbowe, Kama ni kweli hii inaonyesha ni namna gani mbowe amefeli uongozi kwa sababu ameshindwa kuandaa watu ndani ya chama.

Chadema kikiwa Kama chama Cha upinzani kinachopigania demokrasia kinatakiwa kionyeshe mfano wa hiyo demokrasia ndani ya chama kuanzia kwenye katiba ya chama kuainisha mihura ya uongozi ndani ya chama na kuisimamia kwa vitendo.
 
Kweny hili la saccos mnajiaibishaga sana, inaonyesha ni jins gan mlivyo na low thinking chuki na wivu wa kike. Mtu ambae utajiri kazaliwa kaukuta atataka nn pale chadema cha kumuongezea kweny utajir wake?
Wewe ndio unajiabisha.
Matajiri/watu wangekuwa wanatosheka wangeacha biashara zao au miradi yao.
 
Katika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti

Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.

Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT
Kwa nini bavichaa huwa wanamtukana Dk Slaa sasa?
 
Mbowe ni CHADEMA na CHADEMA ni Mbowe.

Bila Mbowe hakuna CHADEMA.

Ila BAVICHA wakisha kula mirungi, wanasema CHADEMA ni Taasisi.

Labda taasisi ndio Mbowe.
Kwa hiyo Mbowe akifa na Chadema imekufa? Chadema ni chama cha umma siyo Cha mtu mmoja, ndo maana kinapokea ruzuku ambayo ni Kodi za wananchi wote hata wasiokuwa na chama.
 
Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.

Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.
View attachment 1774522
Madikteta wote duniani kabla ya kupata madaraka, kwanza huchaguliwa au hupendekezwa na wananchi halafu wakishakikalia kiti cha "madaraka" kuwatoa ndiyo huwa mbinde. Mbowe hana tofauti na "madikteta" wengine.
 
Ndiyo maana wana cdm tunajivunia sana kuwa na mwenyekiti mwenye msimamo usiyo yumbishwa.

Ule usemi wa tulianza na Mungu wala hatukuuokota mitaani bali ulikuwa na chanzo chake na maana yake halisi.
Chadema kila siku mnasisitiza kutengeneza mifumo imara ya uongozi na siyo kutegemea mtu mmoja. Mbona nyie hamuonyeshi mfano kwenye chama chenu? Kwa hiyo Mbowe akifariki leo na Chadema ndo basi tena?
 
Chadema kila siku mnasisitiza kutengeneza mifumo imara ya uongozi na siyo kutegemea mtu mmoja. Mbona nyie hamuonyeshi mfano kwenye chama chenu? Kwa hiyo Mbowe akifariki leo na Chadema ndo basi tena?
Kwani ccm nayo imekufa?
 
Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.

Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona kinasinzia mwaka 2000, nikiwa na Dk. Wilbrod Slaa na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano. Nikaenda vyuo vikuu kutafuta wanafunzi walioonesha mwelekeo wa kuwa viongozi.
View attachment 1774522
Rubbish in this is the way Lissu tries to glorify Nyerere by a way of association with Mbowe. Ni lissu aliyesema yote ya hovyo juu ya Nyerere wakati wa Bunge la katiba.
 
Katika vetting bora Kuwai kufanyika Tanzania ni hii ya mbowe kuwa mwenyekiti

Other wise chadema ingekuwa tayari ni historia.

Kama ilivyo kwa CUF, NCCR, TADEA, UDP na ACT

kabisa sawa na vetting ya CCM kwa Tanzania, ni vetting bora kabisa kuwahi kufanyika

usihamishe goli
 
Mwamba anaunguruma .
Mwenyekiti wangu mie huyo.
Yaani utabaki kuwa Mwenyekiti ili MaCCM yaendelee kuzima mmoja bada ya mwingine .. DADEKI..

leo lumumba na Chamwino washapata kazi yakuwaingizia hela. Ni kumtukana Mzee Mbowe, mpaka vijasho vya kwapani viwatie fangasi.
MaCCM yanamuogopa sana Mbowe.
 
52 Reactions
Reply
Back
Top Bottom