Laptop nzuri ya Programming budget yangu 2.2M

Sex position gani

  • Doggy

    Votes: 7 77.8%
  • Kifo cha mende

    Votes: 3 33.3%

  • Total voters
    9
mkuu nikitaka kuunda machine ya kuplay media za 4k hdr10+ na Dolby vision format hasa movie zile unakuta movie moja ina mpaka GB70

inatakiwa iwe specifications zipi??, kwa desktop namaanisha.
Kwa Bei rahisi zaidi watu hutumia mini pc, cpu yoyote ya Intel kuanzia Gen ya 11 inaplay Av1 codecs na Video za 4k kwa HDR. Hivi vi mini pc ukitaka vizuri Around laki 3, ukitafuta pengine chini ya hapo kwenye sale unapata, baadae unaongeza tu ram na ssd. Uzuri wake hata umeme hauendi sana.

Kama unataka Machine kabisa desktop itakucost sana maana kupata Machine ya Desktop yenye Cpu mpya kama Ryzen 7xxx na intel Kuanzia gen ya 12 ni gharama.

Na kama unatumia Cpu ya zamani na Gpu mpya unatakiwa angaliu Nvidia rtx 3xxxx ama Amd radeon 6xxxx gpu pekee inaweza cost Around laki 7 ama zaidi.

Alternative Desktop yoyote hata sasa itaplay ila kqa software rendering kutumia program kama vlc, sema itatumia nguvu sana kuplay na pia utakua limited vitu kama Netflix, youtube hutapata hizo Quality.

Ushauri wangu tafuta hizo mini pc, ingia tu Aliexpress hapo search

N100 mini pc

Zitakuja.
 
shukrani sana

kama hi Hpa hadi bongo na usafiri ni kma 500k

na kanakuja na ssd

vipi ni value for money?
Screenshot_20230615-114245_AliExpress.jpg
 
Back
Top Bottom