Laptop nzuri ya Programming budget yangu 2.2M

Sex position gani

  • Doggy

    Votes: 7 77.8%
  • Kifo cha mende

    Votes: 3 33.3%

  • Total voters
    9

Awiaman ooza

JF-Expert Member
Mar 25, 2023
516
853
Wakuuu za sahizi nipo Dar nilikuwa natafuta PC

Au laptop nzuri ya 2.2M kama budget yangu

Nilikuwa naomba muongozo wa sehemu nzuri ya kuipatia na pia specifications zake

Napendelea kampuni ya dell

Nipo chuo 1st year napiga IS

Shukrani 👍☺️

1679872702569.jpg
Screenshot_20230326-235018.png
 
Wakuuu za sahizi nipo Dar nilikuwa natafuta PC

Au laptop nzuri ya 2.2M kama budget yangu

Nilikuwa naomba muongozo wa sehemu nzuri ya kuipatia na pia specifications zake

Napendelea kampuni ya dell

Nipo chuo 1st year napiga IS

Shukrani 👍☺️

View attachment 2567086View attachment 2567087
Tafta hp iwe na ssd 500GB+ sio HDD, core5+, processor ikiwa na 2+ itapendeza.
Ikiwa na feature hizo utafanya mpaka android bila kukusumbua.
AI tu ndio inahitaji cloud vingine vyote utafanya.
Note: hp kwa sababu kuna mafundi wengi na spare bongo pia ni nzuri ilikuwepo before apple enzi za IBM
 
Hivi AI inataka pc yenye uwezo gani mkuuuu
 
Kuna ndugu yangu ana dell latitude 3420 vore i5 11 th generation kwani hii haifai kwa AI mkuuu 🤔 Duc in altum ssd 512 gb ram 8gb
Model za AI kama unaanza kuzitrain from scratch zinatumia mamilion ya data so pc yako kwa processor yake haiwezi, kuna kitu kinaitwa GPU nayo angalau lakini kama transfer learning haitumii data nyingi japo utahitaji pia cloud.
Cloud tunatumia kufanya training ya model yako vingine vyote utafanyia kwenye pc yako
 
Cloud ndo nn sasa mkuuu sijaelewa na inataka pc yenye uwezo gani 🤔😁
 
Kuna ndugu yangu ana dell latitude 3420 vore i5 11 th generation kwani hii haifai kwa AI mkuuu 🤔 Duc in altum ssd 512 gb ram 8gb
Inafaa ila kwa 2.2m kununua gen ya 11 unapigwa.

Kwa hio budget minimum Ryzen 3 tena iwe Rembrandt ama intel Gen ya 12 kupanda, ama Macbook Air M1 kwenye sale.

Kama hujali ukaaji chaji na portability Tafuta yenye Rtx 3050 ti, itakua na nguvu na itafanya majority of tasks hata nje ya programing.

Kama portability na ukaaji chaji ni priority tafuta zenye Amd Ryzen 6800u, 6600u, 6800Hs etc ama intel i5 1230u.
 
Ok sawasawa asante
 
Model za AI kama unaanza kuzitrain from scratch zinatumia mamilion ya data so pc yako kwa processor yake haiwezi, kuna kitu kinaitwa GPU nayo angalau lakini kama transfer learning haitumii data nyingi japo utahitaji pia cloud.
Cloud tunatumia kufanya training ya model yako vingine vyote utafanyia kwenye pc yako
Ai zinatumia NPU, Neural processing unit.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom