Laptop nzuri ya Programming budget yangu 2.2M

Sex position gani

  • Doggy

    Votes: 7 77.8%
  • Kifo cha mende

    Votes: 3 33.3%

  • Total voters
    9
Wakuuu za sahizi nipo Dar nilikuwa natafuta PC

Au laptop nzuri ya 2.2M kama budget yangu

Nilikuwa naomba muongozo wa sehemu nzuri ya kuipatia na pia specifications zake

Napendelea kampuni ya dell

Nipo chuo 1st year napiga IS

Shukrani 👍☺️

View attachment 2567086View attachment 2567087

Unaweza fanya programing na computer ya laki tatu na nusu, Dogo nenda kazoee chuo kwanza acha pupa
 
Mpya unapata kina Celeron na Ndugu zake not worth it.

500k kwa 8th gen ni ya kutafuta, uhakika 600k ndio unapata gen ya 8 ila ukitafuta sana na kulia sana unaweza pata hadi 500k.

Duka sina uhakika 100% ila angalia Discount kubwa msimbazi pale, Machinga Complex, na Mtaa wa likoma lile jengo linaloangaliziana na benki ya Mkombozi.
mkuu inaonekana hii ndo location pekee waweza pata vifaa vya computer kwa bei rahisi bongo nzima

maana since miaka ya nyuma unashauri mtu kma anataka vifaa afike hilo eneo.
 
mkuu inaonekana hii ndo location pekee waweza pata vifaa vya computer kwa bei rahisi bongo nzima

maana since miaka ya nyuma unashauri mtu kma anataka vifaa afike hilo eneo.
Kule uhuru wanapiga sana siku hizi, unaweza kwenda kama unajua kuongea
 
Mpya unapata kina Celeron na Ndugu zake not worth it.

500k kwa 8th gen ni ya kutafuta, uhakika 600k ndio unapata gen ya 8 ila ukitafuta sana na kulia sana unaweza pata hadi 500k.

Duka sina uhakika 100% ila angalia Discount kubwa msimbazi pale, Machinga Complex, na Mtaa wa likoma lile jengo linaloangaliziana na benki ya Mkombozi.
Huko kote ulikosema mpaka kwa 480k anapata mashine haswa. Mimi miezi miwili nilinunua core i5 gen ya 7 au 8, ni touch kwa hiyo bei.

Inakaa na chaji 4 hrs.
 
Mpya unapata kina Celeron na Ndugu zake not worth it.

500k kwa 8th gen ni ya kutafuta, uhakika 600k ndio unapata gen ya 8 ila ukitafuta sana na kulia sana unaweza pata hadi 500k.

Duka sina uhakika 100% ila angalia Discount kubwa msimbazi pale, Machinga Complex, na Mtaa wa likoma lile jengo linaloangaliziana na benki ya Mkombozi.
Kaka used hp elite book 840 G2
I7 5Th gen touch screen
Kwa 550K Ina worth?
 
Endelea kutafuta mkuu, Mi kama mwezi nilienda na Mtu Discountkubwa alichukua 8th kwa 600k na tena ilikua ina mbwembwe kioo kidogo, Ultrabook, ssd, ram ya kutosha etc.

Mcheki huyu

10th gen anaclaim.

Sema kama Tapeli mjaribu
Hao hao discount kubwa PC kama hiyo uliyosema ni ultra slim like new wameanzia 750K hadi 650 wamegoma kushuka
 
Inafaa ila kwa 2.2m kununua gen ya 11 unapigwa.

Kwa hio budget minimum Ryzen 3 tena iwe Rembrandt ama intel Gen ya 12 kupanda, ama Macbook Air M1 kwenye sale.

Kama hujali ukaaji chaji na portability Tafuta yenye Rtx 3050 ti, itakua na nguvu na itafanya majority of tasks hata nje ya programing.

Kama portability na ukaaji chaji ni priority tafuta zenye Amd Ryzen 6800u, 6600u, 6800Hs etc ama intel i5 1230u.
Chief namshauri achukue dell 7400 gen ya 8

Akiagiza from Dubai anipata kwa 1.2 au 1.3 m wakati anabaki pocket money kwenye budget Ina ssd ya 512gb na ram8 gb haishindwi kitu labda tuseme anataka display kubwa wakati hii ina 14' kwangu naitumia na naifurahia.

Yote katika yote pc yoyote ila lazima iendane na anachofanya kwa sababu kesha weka hiyo budget
 
Model za AI kama unaanza kuzitrain from scratch zinatumia mamilion ya data so pc yako kwa processor yake haiwezi, kuna kitu kinaitwa GPU nayo angalau lakini kama transfer learning haitumii data nyingi japo utahitaji pia cloud.
Cloud tunatumia kufanya training ya model yako vingine vyote utafanyia kwenye pc yako
Hivi huzo data unazi access bure au ikoje mkuu.
 
Chief namshauri achukue dell 7400 gen ya 8

Akiagiza from Dubai anipata kwa 1.2 au 1.3 m wakati anabaki pocket money kwenye budget Ina ssd ya 512gb na ram8 gb haishindwi kitu labda tuseme anataka display kubwa wakati hii ina 14' kwangu naitumia na naifurahia.

Yote katika yote pc yoyote ila lazima iendane na anachofanya kwa sababu kesha weka hiyo budget
Kama anaagizishia Nje i3 1215u ama i3 1220p unazipata kuanzia $250, ni nzuri zaidi ni mpya na perfomance kubwa kuliko 8th gen
 
Programming computer yoyote hufanya

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Programming gani mkuu ?
Kwaiyo hio server unai install kwenye pc yako sio eeeh 🤔 au inakuwaje
Mkuu unachotaka somea ulijishauri, ulishauliwa au ni mihemko.
Kwanini nauliza hivi ni kwasabu Kuna kukata tamaa na Kama unataka jifunza na hujui maana ya server haileti picha nzuri.
Asante
 
View attachment 2573872
View attachment 2573873
View attachment 2573874
View attachment 2573875

HP VICTUS RTX 3050ti
BEI 2,200,000
GAME ZOTE KAZI YOYOTE YA GRAPHICS HUMU UNATELEZA TU MASHINE YA KAZI BEI OFFER HIYO

Product name
Victus by HP Laptop 16-d0127TX
Microprocessor
Intel Core i5-11400H (up to 4.5 GHz with Intel Turbo Boost Technology, 12 MB L3 cache, 6 cores, 12 threads)
Chipset
Intel HM570
Memory, standard
16 GB DDR4-2933 MHz RAM (2 x 8 GB)
Video graphics
NVIDIA GeForce RTX 3050 Ti Laptop GPU (4 GB GDDR6 dedicated)
Hard drive
512 GB PCIe NVMe TLC M.2 SSD
Optical drive
Optical drive not included
Display
16.1" diagonal, FHD (1920 x 1080), IPS, micro-edge, anti-glare, 300 nits, 100% sRGB
Wireless connectivity
Intel Wi-Fi CERTIFIED 6 AX201 (2x2) and Bluetooth 5 combo (Supporting Gigabit data rate)
Network interface
Integrated 10/100/1000 GbE LAN

WARRANTY 1 year parts and labour limited warranty.

13 month Service Warranty & 7 Days Replacement
Call us
Visit our Shop
CONTACT:
0777994369
Hii 7 days replacement ikoje mkuu
Maana wengi wenu mnaandika hv ila mtu akishanunua akitaka kubadilisha mnageuka mbogo
 
Kama anaagizishia Nje i3 1215u ama i3 1220p unazipata kuanzia $250, ni nzuri zaidi ni mpya na perfomance kubwa kuliko 8th gen
mkuu nikitaka kuunda machine ya kuplay media za 4k hdr10+ na Dolby vision format hasa movie zile unakuta movie moja ina mpaka GB70

inatakiwa iwe specifications zipi??, kwa desktop namaanisha.
 
Back
Top Bottom