Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?
View attachment 3684908
- Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?
- Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitokea kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?
- Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?ini mwanaume amekuwa dhaifu?
Ni lini mwanaume amekuwa dhaifu?
Hebu futa huo usemi kumuita mwanaume dhaifu .
Umesema hisia?
Ow yes!
Men are capable of love.
And we are vulnerable when it comes to love .
Na tunapopenda huwa tunaingia mazima.
Kwaiyo nikiwa mtu siweI kuzuia hisia zangu ndio naitwa dhaifu?
Kwaiyo nimevutiwa na wewe nijikaze ,nijizuie , nisioneshe hisia zangu kwako Ili nisionekane mdhaifu ????
Unajua kwanini by nature tupo hivyo?
Simple
No matter nini kitatokea tuta bounce ba
ck
Iwe kuumizwa, kupoteza uwekezaji wetu kupitia hayo mahusiano.
NB. Nazungumzia Masculine men.
Hasira.
Wanaume Wana hasira kuliko wanawake???
No
Last time I checked wanawake ndio hasira na visirani zaidi.
Angalia hapa.
Logic
Logic
Men are logical
Real men don't tolerate disrespect
Mwanaume aliyekamilika hawezi vumilia disrespect kwasababu by nature wanaume tuna value respect kuliko chochote kile
Na ndio maana yanatokea hayo unayoyasikia.
Angalia Tena
Logic ipo hivi
Nimekuoa, ninakuhudumia kwa kila kitu .
Na nime sacrifice maisha yangu kwa ajili yangu na familia kwa ujumla .
Kama unatumia logic maana yake unajua nini hupaswi kufanya kwa huyu mwanaume
Na unajua nini kitakupata iwapo utakiuka maagano ya Mpaka kifo kitutenganishe.
Kwaiyo.
Madam mwanaume ambae yupo tayari lolote limfike iwe kifungo au kunyongwa kisa tu amesalitiwa ni mdhaifu
Huo ni udhaifu kwako??
Upande wa pili?
Jamaa anajua kabisa huyu ni mke wa brigedia lakini liwalo na liwe limfike lakumfika anaenda kula mzigo,
Huo ni udhaifu?
Mahali pekee mwanaume anakuwa dhaifu ni kwenye movies tu!
Sio kwenye ulimwengu huu .