Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

I have missed you too kipenzi 🤗

The double standards are insane.

Wengi wao wanateswa na ego na uhitaji wa kuprove kwa wanaume wengine kwamba they are men enough.

Nimesoma zile replies nikakosa cha kusema, unawezaje kutetea mauaji? hata kama ni hasira, unawezaje kufanya kitendo kama kile? pia bila hata kujali kwamba watoto wako pia wanaishi hapo?

💯📌

Facts 💯
Hawa watu hawa aloooo
Walee watoto wako vizuri wasije kuangukia kwenye hili kundi la kijinga
 
Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?

View attachment 3684908

  • Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?

  • Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitokea kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?

  • Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
From evolutionary standpoint? Au kwa hoja za mtaani tuu na mazungumzo ya kwemye gahawa na Salons
 
Back
Top Bottom