Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,938
- 36,289
- Thread starter
- #241
Watoto bado wanasoma, utawamalizia maboom yao, hawana hela 😂 😂KKwaini unalipuuzia pendekezo langu😹🔥💔
Watoto bado wanasoma, utawamalizia maboom yao, hawana hela 😂 😂KKwaini unalipuuzia pendekezo langu😹🔥💔
🤣🤣🤣watakuwa wazuri kama mama yaoWatoto bado wanasoma, utawamalizia maboom yao, hawana hela 😂 😂
Binafsi naogopa wanaume Yoda 😂😂 Kuna msemo unasema katika masaa 24, tumia masaa 23 na nusu kuogopa wanaume 😀
Ngoja mabinti waje.
Jokes aside, waathirika wa hasira za kiume sio mabinti tu, wanaume na watoto pia wamo tena kwa wingi.
Haya, embu toeni mapendekezo yenu sasa, mnahisi ni hatua gani zikichukuliwa na wanawake na wanaume kwa pamoja hali hii itatoweka kabisa?Naungana na wewe hapo kwenye kuogopa wanaume 😂.
Literally, they terrify me.
🤣🤣🤣watakuwa wazuri kama mama yao
Heee heee, nakukimbiaje kwenye hii mada 😂Me ntakula tu kwa macho sina wasiwasi
Je, wewe ni mmoja wao?Wakati ambao mjadala unaendelea.
Msiwasahau wale wenye hasira ambao hupenda kujdshuru au kutokuonekana kabisa katika jamii hadi asira zao zitakapopungua.
Hili nimelishuhudia.
Sijaelewa ulichoandika bossKwani??Hembu Tuanzie hapa
Iqlima na labuda ni mapacha wa kaini na abel.
Unadhani waliouwna ni hao wadada labuda na mrembo iqlima?
Jibu unalo tajiri
Usikimbie😹me ntasubiri wakue unipe mmoja
Angel Nylon na ShesRise_1 karibuni pia mjibu hili swali.Haya, embu toeni mapendekezo yenu sasa, mnahisi ni hatua gani zikichukuliwa na wanawake na wanaume kwa pamoja hali hii itatoweka kabisa?
Tunaanzaje kuitibu akili ya mwanaume?
Kuna mmoja huyo penda penda najua atakuelewa tu 😂 na ulivyo mnono 💕Usikimbie😹me ntasubiri wakue unipe mmoja
Hapa pagumu maana majibu huwa mawili tu; "Jikaze" na "Wewe si mwanaume..."kuongelea matatizo yenu kwa wale wnaowazunguka (acheni kubebelea vitu mioyoni na vichwani).
Duh... Ni kweli but mimi nadhani ni nature hatuna huruma...
Tatizo mpaka wanawake wanauliwa ni kwamba Demu kachepuka amestukiwa ,mwanamme anaamua kumuacha ,yeye anakaza FUVu anataka wagawane mali ,mwanamme anapata machungu mara mbili la kwanza KUTAFUNIWA MKE na PILI kufilisiwa MALI hapo lazima AKUMWAGE UBONGO kwa Pyupyu au AKUFUMUE UTUMBO kwa KAMEME.Unakuta mwanaume mke wake kaliwa na mwanaume mwingine anapandwa na hasira. Hasira za nini wakati alimkuta mwanamke na mbunye yake ikiliwa na watu wengine? Mbunye ya mke wake itaendelea kuliwa na wengine atake asitake, hata kama aliizindua yeye mkewe atataka kuonja mipiko ya nje ina ladha gani, mwanaume awe mpole tu maisha yaendelee
Sema dah, nina imagine aise. uvulanani tumepiga hii michezo, lakini sio group hivi, kila mmoja alikuwa kwa time yake. 😀 Tulikuwa tunaita mtungo.😂😂😂😂 Kilichompeleka kwenye 3some nini kiherehere tu! 🤣
Sijui kama hizo 90% ni za kitafiti, lakini wanaume walijaaliwa vitendo na si lopolopo nyingi za majibizano. Wewe na kamdomo kanakusaidia kuchelewesha maamzi.Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?
View attachment 3684908
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
- Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?
- Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitokea kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?
- Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Hivi kweli nyie viumbe hamna kinyaa 😬😵💫?Sema dah, nina imagine aise. uvulanani tumepiga hii michezo, lakini sio group hivi, kila mmoja alikuwa kwa time yake. 😀 Tulikuwa tunaita mtungo.
Kutoa uhai wa mtu over mapenzi/mali huku wewe unaishia jela ni upumbavu wa hali ya juu. Mpumbavu ni mtu asiyefikiria consequences za hisia zake.
Na bado wakafanikiwa kueneza propaganda ya "wanawake wana roho mbaya".
- Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?
it baffles me kwa kweli 🤦🏾♀️Na bado wakafanikiwa kueneza propaganda ya "wanawake wana roho mbaya".