Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Good morning Binti wa zamani.

Mi bado namtafuta aliyesema wanawake tunaendeshwa na hisia.

Bandiko lako limekuwa argument yangu ya kila siku na unfortunately hakuna ambaye amewahi kuelewa nachozungumzia. Siku moja kwenye bandiko la Prida almanusura wanitoe roho.

Wanaume ni viumbe dhaifu, hatuwaambii hili ili kuwadogosha, tunawaambia hili so that yall can do better!

Madhara ya mwanaume kuendeshwa na hisia ni makubwa kuliko kinyume chake.
 
Compared to men, women are more aggressive and vicious. Their aggression appears in the form of subtle-debilitating emotional abuse: slander, manipulation, gaslighting, character assassination and covert narcissism.​
Men are just as capable of manipulation, gaslighting and slander, so those aren't female traits.
A women can enter into a man's life and leave him completely shattered, broken-beyond and unable to emotionally recuperate. A state of affair which is worse than death.​
Jamani, hakuna anything "worse than death".
Death is the only harm nobody can recover from, and about 90% of homicide suspects worldwide are men.
Men are seen as aggressive because they've been at the helm of civilization since the dawn of time. The entire wheel of human civilization is hinged on The Patriachy, both in terms of Power and Influence. So whatever they do cannot go unnoticed and arouse emotional debate.

But unlike women who do almost many things for selfish reasons, 50% of men's cruelty benefits women. Men go to war for glory, aggrandizement and gold, which in the long run benefit women of his society.​
The idea that women benefit from men's cruelty neglects who actually suffers from male violence "mostly other men". Young men are by far the most likely to be killed, usually by other young men, women aren't spared either.

War brings mass rape, widowhood, displacement and famine, which is hardly a benefit.
And when women are murdered, it's most often by a partner or family member.
Men want power for selfish reasons as being able to ensure security and continuation of his offsprings which are borne out of a woman and raised by a woman.

Bottom line is, women are great beneficiaries and stake-holders of Men's cruelty.......​
Men holding power through history explains why male violence has been so consequential.
It doesn't show that women are the more vicious sex or that they benefit more.
 
Compared to men, women are more aggressive and vicious. Their aggression appears in the form of subtle-debilitating emotional abuse: slander, manipulation, gaslighting, character assassination and covert narcissism.

A women can enter into a man's life and leave him completely shattered, broken-beyond and unable to emotionally recuperate. A state of affair which is worse than death.

Men are seen as aggressive because they've been at the helm of civilization since the dawn of time. The entire wheel of human civilization is hinged on The Patriachy, both in terms of Power and Influence. So whatever they do cannot go unnoticed and arouse emotional debate.

But unlike women who do almost many things for selfish reasons, 50% of men's cruelty benefits women. Men go to war for glory, aggrandizement and gold, which in the long run benefit women of his society.

Men want power for selfish reasons as being able to ensure security and continuation of his offsprings which are borne out of a woman and raised by a woman.

Bottom line is, women are great beneficiaries and stake-holders of Men's cruelty.......​
We're fighting for their vipochi manyoyas😆

They'd understand if they knew how delectable their vipochis are. They're essentially clueless.
 
Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?

View attachment 3684908

  • Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?

  • Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitokea kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?

  • Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
Testosterone.
 
Kimuonekano au tuseme kimazoea wanawake tunaonekana dhaifu. Ile kulialia kwa mambo madogo, au wakati mwengine kupanic inapotokea tatizo kwa haraka tunakuwa hatujui maamuzi sahihi so either tutapanic au tutaanza kulia. Kugombeza gombeza kila wakati either kuwagomba wtt au waume zetu...hii ndio inayofanya jamii ituone dhaifu. Lakini kiuhalisia hasa wanaume ndio wapo dhaifu, wana jazba na wanakurupuka kirahisi mno. Ile kuwa sie hatuwadhuru wanaume jamii inaona kama labda hatukerwi, au hatuudhiwi, au hatukasirishwi au hatupigwi matukio na wanaume. Kwa vile tunabeba na mara nyingi tunaamua kusamehe, tuna imani, tuna huruma tena wakati mwengine huruma inapitiliza mpk unajiuliza mie nimerogwa. Mwanamke unaweza ukapigwa matukio na mwanamme mara kadhaa na kila mara ukawa unasamehe. So watu wakiona hivyo they like it's easy, ila tunayopitia ni mazito mnoo mpk tunapata maradhi.
Ila njoo kwao wao sasa. Yaani kuna mada ukizisomq humu, utasema hamna mwanammke wa maana dunia nzima. Yaani wanawake wahuni, wanawake malaya, wanawake hawatosheki, wanawake wezi, wanawake sio waaminifu yaani mada za wanaume kulalamika zimekuwa too much mpk unajiuliza hawa wanaume wa siku hizi hawana vifua au ndio mambo ya utandawazi!!!
Wao wanajiona wapo so exceptional yaani, they can do anything na maisha yataendelea. Wakifanyiwa wao sasa, ndio kama ivo...utaskia kaua kwa risasi, kachinja, kaumiza mwanamke au wengine wanafikia mpk kujidhuru. Fikiria mtu anaweza akaua familia nzima, kisa kaudhiwa. Kama si udhaifu ni nn. Men are weak, veryyyyyyy
 
Binti wa zamani miss you dear 🥹

Kila binadamu ni mbinafsi kwa namna yake lakini hii gender imejimegea pande kubwa la ubinafsi

Mwanaume anaamini yeye kusaliti ni tamaa tu ambayo anailemba kwa kusema kwamba tamaa ni asili yake eti mwanaume kutamani ni jambo lisiloepukika

Na makosa mengine mengi wanayalemba kwa mtindo huo

Mwanaume anataka kumuumiza mwanamke huku akilazimisha kusamehewa

Lakini yeye hataki kuumizwa kabisa, na anaweza kwenda mbali zaidi na kufanya matukio makubwa akihisi ameumizwa

Yeye mwanaume hujiona bora zaidi yeye ndiye mwenye moyo, yeye ndiye mwenye uchungu mkali

Anasahau kwamba mwanamke naye ni binadamu kama alivyo yeye
Ana hisia, anaumia, anakasirika na ana mipaka yake pia
Sasa mbona yeye mwanamke anajizuia huoni kama wanaume wanateswa na ego?

My dear, baadhi ya wanaume ni wabinafsi kupindukia
Ndiyo maana hata kwenye ile post ya yule dada aliyeuawa wanaume baadhi yao wanajaribu kuhalalisha huo unyama kwa kusema, Eti mwanaume alifanya vile kwa hasira

Na angefanya vile mwanamke wangeanzisha magenge ya kusema kataa ndoa

Kusalitiwa au kuumizwa iwe issue ya pesa hakumpi mtu ruhusa ya kuua, kutesa au kumuumiza mwingine

Sheria zinaweza kufatwa kama hakuna uwezekano wa kusamehe

Hawa watu I mean wanaume baadhi yao wana roho mbaya sana na Ego ipo juu mnoo kwa kuona mwanamke kama kitu au bidhaa
 
We're fighting for their vipochi manyoyas😆
Mnajifariji and even if it's true, ni jukumu lenu 😄
They'd understand if they knew how delectable their vipochis are. They're essentially clueless.
We know, and that's our power 😎
Animated GIF (1).gif
 
Kimuonekano au tuseme kimazoea wanawake tunaonekana dhaifu. Ile kulialia kwa mambo madogo, au wakati mwengine kupanic inapotokea tatizo kwa haraka tunakuwa hatujui maamuzi sahihi so either tutapanic au tutaanza kulia. Kugombeza gombeza kila wakati either kuwagomba wtt au waume zetu...hii ndio inayofanya jamii ituone dhaifu. Lakini kiuhalisia hasa wanaume ndio wapo dhaifu, wana jazba na wanakurupuka kirahisi mno. Ile kuwa sie hatuwadhuru wanaume jamii inaona kama labda hatukerwi, au hatuudhiwi, au hatukasirishwi au hatupigwi matukio na wanaume. Kwa vile tunabeba na mara nyingi tunaamua kusamehe, tuna imani, tuna huruma tena wakati mwengine huruma inapitiliza mpk unajiuliza mie nimerogwa. Mwanamke unaweza ukapigwa matukio na mwanamme mara kadhaa na kila mara ukawa unasamehe. So watu wakiona hivyo they like it's easy, ila tunayopitia ni mazito mnoo mpk tunapata maradhi.
Ila njoo kwao wao sasa. Yaani kuna mada ukizisomq humu, utasema hamna mwanammke wa maana dunia nzima. Yaani wanawake wahuni, wanawake malaya, wanawake hawatosheki, wanawake wezi, wanawake sio waaminifu yaani mada za wanaume kulalamika zimekuwa too much mpk unajiuliza hawa wanaume wa siku hizi hawana vifua au ndio mambo ya utandawazi!!!
Wao wanajiona wapo so exceptional yaani, they can do anything na maisha yataendelea. Wakifanyiwa wao sasa, ndio kama ivo...utaskia kaua kwa risasi, kachinja, kaumiza mwanamke au wengine wanafikia mpk kujidhuru. Fikiria mtu anaweza akaua familia nzima, kisa kaudhiwa. Kama si udhaifu ni nn. Men are weak, veryyyyyyy
Exactly 👏 👏👏
Hawa watu ni weak sana
Ndio maana hata nyuzi za kulia lia na kuomboleza ni wao tu

Asubuhi utasikia bro to bro
Jioni ooh vile
Usiku mwanamke vile
Roho zao ndogo kama za kuku

Nawashauri wanaume kazeni moyo acheni kutuua
Ukiona umeshindwa jikatae tu
 
Good morning Binti wa zamani.
Morning babes 🫶
Mi bado namtafuta aliyesema wanawake tunaendeshwa na hisia.
Mimi namtafuta huyo na yule aliyesema "wanawake tuishi nao kwa akili"
Bandiko lako limekuwa argument yangu ya kila siku na unfortunately hakuna ambaye amewahi kuelewa nachozungumzia. Siku moja kwenye bandiko la Prida almanusura wanitoe roho.
Ni kitu nakitafakari kwa muda mrefu, na kwanini huu udhaifu often unakua glorified?
Wanaume ni viumbe dhaifu, hatuwaambii hili ili kuwadogosha, tunawaambia hili so that yall can do better!
Madhara ya mwanaume kuendeshwa na hisia ni makubwa kuliko kinyume chake.
I agree, wengi wao wanakwepa working on themselves kwa sababu hawataki hata kukubali kwamba kushindwa kuregulate emotions hasa zile ambazo ni negative ni udhaifu.
 
"..nipige kama kweli wewe ni mwanaume".

Wewe ungekuwa ndiye huyo mwanaume hapo ungefanyaje?

Ni katika harakati za kuukataa unyonge ama kuthibitisha uanaume ndiyo tunajikuta tumebutua watu.😀
 
Nina watoto wa kiume pekee na hili ni swali ambalo nimekua nalo kwa muda mrefu na naamini majibu yake yatanisaidia kuelewa kizazi changu pia.
Mwanadamu anakuzwa kwenye mambo makuu matatu.

1)Kimwili-Kumesahauliwa.

2)Kiakili-Kumeachwa kama shamba la bibi.

3) Kiroho-Huku kumeingiliwa.

Wapeleke kwenye martial arts kule kuna mafunzo maalumu ya kujiongoza na kuhimili shinikizo kwenye mazingira yoyote.

Ikishindikana waambie wawe wanafanya mazoezi mbalimbali hasa ya kukimbia coz lili jasho hupunguza sumu mbalimbali zikiwemo za kisaikolojia.

Nb: Wote humu tupende kufanya mazoezi yanasaidia kuituliza akili plus kuondoa msongo.Sehemu za kiroho plus shule zimekuwa corrupted.
 
Good morning Binti wa zamani.

Mi bado namtafuta aliyesema wanawake tunaendeshwa na hisia.

Bandiko lako limekuwa argument yangu ya kila siku na unfortunately hakuna ambaye amewahi kuelewa nachozungumzia. Siku moja kwenye bandiko la Prida almanusura wanitoe roho.

Wanaume ni viumbe dhaifu, hatuwaambii hili ili kuwadogosha, tunawaambia hili so that yall can do better!

Madhara ya mwanaume kuendeshwa na hisia ni makubwa kuliko kinyume chake.
Baby girl miss you 🥹😍
Naunga mkono hoja mwili mzima
Yaani mzima mzima

Hawa watu ni weak
Rejea ile hadithi yangu 😊
 
Upo sahihi.Hadi mwanaume afanye tukio baya ujue alishavumilia jambo/mambo kwa muda mrefu sana.
Sio kweli rafiki, Kuna watu wanapigana na ni strangers unakuta wamekutana nusu saa iliyopita wamezinguana wakazibonda.

Hapo anakuwa amevumilia nini muda mrefu? Wakati mnasema wanawake are emotional, mlisahau kuwa anger ni emotional pia ambayo inalalia upande wenu😅😅
 
Good morning Binti wa zamani.

Mi bado namtafuta aliyesema wanawake tunaendeshwa na hisia.

Bandiko lako limekuwa argument yangu ya kila siku na unfortunately hakuna ambaye amewahi kuelewa nachozungumzia. Siku moja kwenye bandiko la Prida almanusura wanitoe roho.

Wanaume ni viumbe dhaifu, hatuwaambii hili ili kuwadogosha, tunawaambia hili so that yall can do better!

Madhara ya mwanaume kuendeshwa na hisia ni makubwa kuliko kinyume chake.
Hisia ni moja ya vijenzi muhimu kabisa vya ubinadamu. Kila mtu anazo.

Changamoto inakuja kwenye tamaduni. Wanaume tunalelewa kiushindani, hivyo tupo kwenye hatari ya kuendeshwa na hofu, hasira, chuki na kiburi. Wanawake mnalelewa kiuvumilivu, hivyo mpo kwenye hatari ya kuendeshwa na wivu, na hila.

Pia tamaduni hizo hizo zinaendeleza upotoshi, mfano kupitia hizi dini zetu wapo wengi wanaoamini kuwa wanaume hawana hisia.

Ila wakulaumiwa hayupo, wakati wanadamu tunaanza kuishi kimakundi ilikuwa sahihi zaidi watu wenye nguvu za kimwili(wanaume) kuwekwa juu ili wasimamie vitu kama ulinzi na kilimo, na ndipo mfumo dume ukazaliwa na kuleta haya yote. It was out of necessity.

Ni wachache wanaweza kwenda nje kidogo ya ufahamu wa hizi tamaduni zetu na kuelewa haya.
 
Ila wakulaumiwa hayupo,
Hayupo au mnaogopa kuusema ukweli kama ulivyo
wakati wanadamu tunaanza kuishi kimakundi ilikuwa sahihi zaidi watu wenye nguvu za kimwili(wanaume) kuwekwa juu ili wasimamie vitu kama ulinzi na kilimo, na ndipo mfumo dume ukazaliwa na kuleta haya yote. It was out of necessity.
Is it still necessary today?
Ni wachache wanaweza kwenda nje kidogo ya ufahamu wa hizi tamaduni zetu na kuelewa haya.
💯 💯 💯
 
Exactly 👏 👏👏
Hawa watu ni weak sana
Ndio maana hata nyuzi za kulia lia na kuomboleza ni wao tu

Asubuhi utasikia bro to bro
Jioni ooh vile
Usiku mwanamke vile
Roho zao ndogo kama za kuku

Nawashauri wanaume kazeni moyo acheni kutuua
Ukiona umeshindwa jikatae tu
Kabisa kabisa.
Mwanamme akiondoka nyumbani akatelekeza familia anaambiwa ni sahihi maana wanawake wana maudhi. Mwanamke akiondoka nyumbani anaambiwa muhuni, kaondoka nyumbani kwenda kudanga, hana huruma na wtt, malaya. N.k
Yaani sisi ndio tumeumbiwa kupokea uonevu tu.....
Aisee me na niitwe feminist potelea bondeni. Hadi mabinti zangu nitahakikisha nawasomesha vizuri na kuwafundisha wajitafutie chao na kamwe wasije wakavumulia uonevu. Hakuna alie m-bora juu ya mwenziwe, however
 
Back
Top Bottom