Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,938
- 36,289
- Thread starter
- #181
Is this an opinion or a fact?Ladies start chaos at first place
viva franklin saint
Is this an opinion or a fact?Ladies start chaos at first place
viva franklin saint
Tena don’t start kwenye hili 🤣 Maana sio wanaume tu wana glorify tabia mbaya za kiume bali hata sisi “birds” be it a mother, mke, girlfriend, mchepuko, dada etcMorning babes 🫶
Mimi namtafuta huyo na yule aliyesema "wanawake tuishi nao kwa akili"
Ni kitu nakitafakari kwa muda mrefu, na kwanini huu udhaifu often unakua glorified?
Halafu kuna kitu kinahuzunisha zaidi, We all know kuwa anger ni second emotion, ukimuona mtu ana hasira kwenye point A, kuna underlying emotions yuko nazo before anger ilipuke, May be disapointments, shame, sadness, fear, neglect, pain etc Sasa kama anger ni second emotion chances are mtu anaweza kuja kukulipukia wewe kwa kitu ambacho haujafanya, kimefanya na mtu B, walipokuwa point A.I agree, wengi wao wanakwepa working on themselvesd kwa sababu hawataki hata kukubali kwamba kushindwa kuregulate emotions hasa zile ambazo ni negative ni udhaifu.
Baby girl miss you 🥹😍
I know right.Naunga mkono hoja mwili mzima
Yaani mzima mzima
Hawa watu ni weak
Rejea ile hadithi yangu 😊
Both ways
ElaborateBoth ways
Lazima ni report jeuri ya ku to sign in natoa wapi my lovely sister 💕Miss you pia mama, umerudi haujareport headkota 😅
I know right.
Karibu maa, I hope you are well and thriving. ❤️Lazima ni report jeuri ya ku to sign in natoa wapi my lovely sister 💕
Na wewe ukimletea nyeusi akufanyaje?Kama mwanamke ananiletea nyeusi kwanini nisimgombeze
Kwanini unachukulia kukiri udhaifu kama kudhalilika?binti, mbona umekazania sana wanaume tukiri wazi wazi kuwa sisi ni dhaifu zaidi? Nia yako haswa ni nini? Unataka kutudhalilisha mazima sio?
Nnai au nini kimewatengeneza muwe hivyo? kwa sabbabu au malengo gani?Anyways, what if wanaume imetutengeneza kuwa hivyo hivyo ili kuleta balance kwenye meaning hapa ulimwenguni?
Thibitisha yangekuwaje mabaya?Bila hizo tabia unazoziita hasira na visasi kuna namna maisha yangekuwa mabaya zaidi ya haya yaliyopo.
Hapo ni mpambano wa dharula.Sio kweli rafiki, Kuna watu wanapigana na ni strangers unakuta wamekutana nusu saa iliyopita wamezinguana wakazibonda.
Hapo anakuwa amevumilia nini muda mrefu? Wakati mnasema wanawake are emotional, mlisahau kuwa anger ni emotional pia ambayo inalalia upande wenu😅😅
Binafsi sina shida, nimekubali kitambo sana.Sasa mimi na Binti wa zamani na wengine tunamtafuta aliyepindua meza akaaminisha dunia women are emotional wakati statistically inagoma tukitumia “madhara” kama criteria ya upimaji.
Nakubali, we only ask mdhibiti hasira ili mpunguze violent duniani, we don’t ask for much, Are we?
Anything that has been constructed can be deconstructed, tukianza kuwaelekeza (deconstruct) acheni ile punch line yenu maarufu ya “nature” msiwe mna naturalize kila kitu kwa faida yenu.
Wanaume mnakubali udhaifu ambao ni beneficial kwenu, waambie wanaume ni wadhaifu kwenye ngono collectively watakubali sote tunajua kwanini, Lakini mwambie mwanaume we ni dhaifu kwenye vitu vingine utakuwa umejitafutia vita 😅
Mtakuwa bora zaidi mkikubali mnaudhaifu wa mambo yote yanayohusiana na hisia, mkubali hadharani au kimyakimya ili mfanyie kazi.
HormonesKwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?
View attachment 3684908
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
- Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?
- Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitokea kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?
- Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Eti 😳Violence ndio namba bora zaidi ya kutatua matatizo kuliko njia nyingine zozote.
SawaKuna watu bila vitendo ukasema mtumie maneno na ustaarabu hamuwezi kuelewana na amani kamwe haitopatikana.
HalijajibiwaHope swali limejibiwa
Nyie viumbe mpo weak physically ndio maana hamna madhara na hizo weakness za kihisia, men are like lions, hatutaki kushindwa, tuna physcal streng inayotupa nguvu ya ziada kukiwa na jambo haliendi sawa. Ndio maana hata mtaani utakuta tunapigana, vitani tupo front, jela tumejaa, its because we are physically strong, ukiachana na hisia.Sasa mimi na Binti wa zamani na wengine tunamtafuta aliyepindua meza akaaminisha dunia women are emotional wakati statistically inagoma tukitumia “madhara” kama criteria ya upimaji.
Nakubali, we only ask mdhibiti hasira ili mpunguze violent duniani, we don’t ask for much, Are we?
Anything that has been constructed can be deconstructed, tukianza kuwaelekeza (deconstruct) acheni ile punch line yenu maarufu ya “nature” msiwe mna naturalize kila kitu kwa faida yenu.
Wanaume mnakubali udhaifu ambao ni beneficial kwenu, waambie wanaume ni wadhaifu kwenye ngono collectively watakubali sote tunajua kwanini, Lakini mwambie mwanaume we ni dhaifu kwenye vitu vingine utakuwa umejitafutia vita 😅
Mtakuwa bora zaidi mkikubali mnaudhaifu wa mambo yote yanayohusiana na hisia, mkubali hadharani au kimyakimya ili mfanyie kazi.
Hormones
Are you saying men are hormonal with low self control? and are impulsive and irrational?Testosterone.
Hebu changia buana, upande wa pili wana shida gani kwani?Nasoma tu mpambano na mtifuano huu kwa umakini na utuo zaidi.
Niko na 🍿 zangu. 😂😂😂
Mie leo nakuwa msomaji. Kuna kitu nakipata hapa.Hebu changia buana, upande wa pili wana shida gani kwani?
Niambie mawazo yako ya kisasa, nakusikilizaUnamawazo ya kizamani kama jina lako...