Wanaume ni viumbe dhaifu, hatuwaambii hili ili kuwadogosha, tunawaambia hili so that yall can do better!
Madhara ya mwanaume kuendeshwa na hisia ni makubwa kuliko kinyume chake.
BK, it's not that men are weaker. It's that a lot of men have been taught to carry weight without being taught how to put it down. Tafiti zinaonyesha kwamba wanaume ndio wapo kwa kiasi kikubwa na mental disorders, ndio maana ni kweli visa vingi alivyotoa mtoa mada vinatoka jinsia ya kiume, lakini hilo haliwezi chukuliwa moja kwa moja kama udhaifu wa jinsia yote kwa uzito wake.