Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,209
- 109,137
Kuwa mwanejeshi au mwindaji kunahitaji mtu kuwa violent kwa kiasi kikubwa.Nakubaliana na wewe ila hivyo vitu ulivyolist vinahusiana nini na kushindwa kudhibiti hisia na kuwa violent?
Hata kazi za madini kwenye nchi zinazoendelea zinahitaji mtu aggressive sana
Kazi za baharini nazo zinahitaji watu violent kwa kiasi kikubwa.
Na hizi kazi zote ni za wanaume kwa 99%