Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Binafsi sitetei ukatili au aina yoyote ya kujichukulia maamuzi bila kufikiri lakini mpaka unaona mtu anatenda tukio fulani Cha kinyama basi ujue ndipo uwezo wake wa kuhimili na kudhibiti hisia zake umefika kikomo, unajua kila mtu ana kiwango chake Cha uvumilivu ambacho kikifika kikomo chake yule mtu anaweza kuwa mwehu au kichaa hali inayoweza kupelekea mtu huyo kufanya chochote na hapo baadae huishia kujutia, na kwa kuwa most male ni chauvinist na mostly wana macho pride, kosa lolote atakalofanyiwa na mwanamke hasa linaloonekana kushusha hadhi yake kama mwanaume au lenye kumtia aibu au kumfadhaisha linaweza kuishia katika kuleta madhara makubwa hasa ya kimwili
 
Kutodhibiti hisia ni udhaifu mkubwa sana,mwanaume au mtu yoyote mwenye nguvu ni yule ambaye anaweza kudhibiti hasira anapo kasirika na kinyume cha hapo ni weakness

Ukijiona jambo dogo tu linakukwaza na kutaka kufanya maamuzi ya ajabu you are weak

Kibaya zaidi sisi ndio kichwa cha familia halafu tupo very weak

Wanaume tubadilike kabla hujafanya anything stupid just think big tutaepuka na mengi period
Umesema vyema, ila kuna wachache wanaweza kukupinga kwa sababu ya ego, kwao kukiri udhaifu na kuufanyia kazi wanachukulia kama ishara ya kujivua uanaume wao.
 
Binafsi sitetei ukatili au aina yoyote ya kujichukulia maamuzi bila kufikiri lakini mpaka unaona mtu anatenda tukio fulani Cha kinyama basi ujue ndipo uwezo wake wa kuhimili na kudhibiti hisia zake umefika kikomo, unajua kila mtu ana kiwango chake Cha uvumilivu ambacho kikifika kikomo chake yule mtu anaweza kuwa mwehu au kichaa hali inayoweza kupelekea mtu huyo kufanya chochote na hapo baadae huishia kujutia, na kwa kuwa most male ni chauvinist na mostly wana macho pride, kosa lolote atakalofanyiwa na mwanamke hasa linaloonekana kushusha hadhi yake kama mwanaume au lenye kumtia aibu au kumfadhaisha linaweza kuishia katika kuleta madhara makubwa hasa ya kimwili
Siyo makosa tu, vipi wale wanaodhuru wengine au kuua kwa kukataliwa au kunyimwa kitu wanachokiomba au kukihitaji?

Na je, huo ukomo wa kuvumilia mambo upo kwa wanaume tu au wanawake pia wanao? mbona maamuzi huwa ni tofauti sana? huku upande mmoja ukielemea zaidi kwenye violence, kudhuru na kuharibu?
 
Ni nature au nyie jinsia ya kiume ni dhaifu kuliko sisi?
Mwanaume anafundishwa kuwa hazaliwi na thamani yake, bali anaitafuta. Anatafuta mali, anajenga nguvu, anajifunza ujuzi nk.

Kuyapata hayo yote ni lazima uwe mkorofi na mshindani japo kidogo. Kila unachostahili utagombania.

Hao wanaoua na kujiua wamepitiliza kiasi tu, ila ni lazima mwanaume uwe mkorofi, uwe tishio, na ukandamize wabaya wako.
 
Unakuta mwanaume mke wake kaliwa na mwanaume mwingine anapandwa na hasira. Hasira za nini wakati alimkuta mwanamke na mbunye yake ikiliwa na watu wengine? Mbunye ya mke wake itaendelea kuliwa na wengine atake asitake, hata kama aliizindua yeye mkewe atataka kuonja mipiko ya nje ina ladha gani, mwanaume awe mpole tu maisha yaendelee
Haina comeback hii ✍️😂😂😂
 
Back
Top Bottom