Je, jinsia ya kiume ni dhaifu?

Je, jinsia ya kiume ni dhaifu?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
14,935
Reaction score
36,265
Kwanini wanaume wengi (si wote) wana uwezo mdogo sana wa kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?

Angry Lmao GIF by Showmax.gif

  • Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?

  • Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitoke kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?

  • Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
 
Wanawake mnafanya upuuzi kwa wanaume afu mkiguswa kdg tuu kelele kibao, n mwendo wa risasi za kichwa tuu hakuna namna.

Wanaume tunavumilia upuuzi mwingi sana wa wanawake na huwezi kutuona tukilalamika front page.
 
Kwanini wanaume wengi (si wote) wana uwezo mdogo sana wa kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?
  • Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?

  • Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitoke kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?

  • Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
That is nature kwanza mwanaume hawezi kudeal na kitu zaidi ya kimoja
 
Ngoja waje hv natafuta ajira alienda wapi maake tukio la kweka angekuwa keshatujazia server humu ndani.....

Ni wapumbavu wanaojifanya tumechoka kumvumilia mwanamke

Kuna ulazima gani wa kumvumilia mtu msiye na maono, mawazo hata mitizamo inayofanana ??

Ni upumbavuu mkubwa janaume kusema ety nimemvumilia huyu mwanamke mpk kujiua au mwanamke kukupa stress, ama magonjwa kisa kuvumilia upumbavuu!!!!

Hao hawapaswi kuwa kundi la wanaume.....

Cc BICHWA KOMWE BRAZA CHOGO
 
Huo ndio uanaume, kila mwanaume anataka awe juu.. na ndio maana kwenye ugomvi hata wa sh 50 kama hakuna atakaejifanya mjinga, yanaweza kutokea madhara ya mamilioni ya pesa, kisa tu kila mtu hataki unyonge anataka kuonesha ni mwanaume..
Sasa ukimfanya mwanaume mjinga siku akishtuka ni balaa.. wote tunafanana, tunatofautiana kwenye kudhibiti hasira zetu tu.
Mie mtu akinikera mara nyingi naondoka eneo husika sababu najijua, siwezi ongea saana bila makofi... hii imenisaidia mnooo kuniepusha na matatizo mazito.. sababu mara zote nilizogadhibika na kuchukua hatua basi mwisho wake sio mzuri...
 
Hoja zako hazina mashiko kuua huo ndo uanaume sasa na ndiyo maana hata vitani wanaoenda ni wanaume na sio nyie. Hivyo tukisense kuna dalili yoyote ya mwanamke kutuletea ujinga tunamfyekelea mbali. Chinjaa kata shingo kabisa.
 
Back
Top Bottom